Kama ni kweli Halima Mdee alifungua kesi tarehe 12/05/2022 basi maamuzi ya Spika Tulia ni sahihi kabisa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,914
Mkurugenzi wa Chadema mh John Mrema amesema Halima Mdee na wenzake walifungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama 12/05/2022 na wao Chadema waliopewa taarifa 16/05/2022 siku ya kesi

Kumbe inawezekana kabisa Spika Tulia alipewa taarifa za kesi mapema zaidi kabla hata mh Benson Kigaila hajawasili Dodoma na barua yake
 
Hizi akili zako sometimes Zina matatizo
 
CHADEMA bwana hawajielewi Alafu majitu yamejazana hapa kutukana
Jibia hoja hapa na acha upumbavu, spika ana order ya kimahakama kuzuia Mh.Mdee &others wasifutwe ubunge?,elewa mahakama hazi deal na kesi za kisiasa, hapo walalamikaji wanalalamika hawakutendewa haki kufutwa uanachama!,spika alikua within her mandate kuwafuta ubunge hawa unless amepata order kutoka court, tatizo la kuwa na bunge na mahakama za kimichongo
 
Back
Top Bottom