PostGE2025 Jaji Chande: Waliofariki kutokana na vurugu ni 518, watoto walikuwa 21

PostGE2025 Jaji Chande: Waliofariki kutokana na vurugu ni 518, watoto walikuwa 21

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,129
Reaction score
3,621
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam


 
Wahalifu wote ipo siku watalipa tu kwa haya mauaji waliyo yafanya kwa Watanganyika.
 
Watu waliokufa ni weng sana, viongoz hawajali na bado watampgia makofi Rais
 
Akizungumza wakati wa kupokea ripoti hiyo, Mheshimiwa Rais alitambua kwa uzito mkubwa madhara yaliyolikumba Taifa, akipokea maelezo kuwa matukio hayo yalisababisha vifo vya takribani watu 518, majeruhi zaidi ya 2,390, na uharibifu wa mali unaokadiriwa kufikia zaidi ya shilingi bilioni 125. Hasara hizi zimeacha majeraha makubwa ya kijamii, kiuchumi na kisaikolojia. #RipotiYaChande
Tume Ya Uchunguzi
IMG-20260423-WA0268.jpg
 
Back
Top Bottom