Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona...
7 Reactions
14 Replies
562 Views
CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
4 Reactions
9 Replies
183 Views
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa? Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni...
8 Reactions
27 Replies
648 Views
Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia” Demokrasia yetu bado ni changa Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko...
3 Reactions
3 Replies
161 Views
Anonymous (74a8)
Tulikamatwa vijana zaidi ya 20 wa CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2025 tarehe 28 Oktoba, ilikuwa kabla ya uchaguzi wenyewe, tulikuwa watu wa 3 tukanyang’anywa simu. Ilikuwa katika Kituo cha Polisi...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Reuters - At least 518 people were killed in violence that broke out during Tanzania's elections last October, a government-appointed commission of inquiry said on Thursday, in the first ‌official...
9 Reactions
3 Replies
327 Views
Mh Rais walio kufa ni watanganyika je walijua ilo? Je wangapi na ni ndugu zako? Je ni Rais yupi aliwai kuwa Rais kwa mauaji ya watu hata 300? Tanganyika?walikufa ni wengi kwa Nini usiqchei nchi...
3 Reactions
0 Replies
95 Views
  • Redirect
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo...
1 Reactions
Replies
Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametumia vifungu vya Biblia na Qur'an kutoa wito wa toba, unyenyekevu na kuomba msamaha kwa Mungu kufuatia Matukio ya Oktoba 29 yaliyoikumba nchi. Akinukuu Biblia katika...
2 Reactions
7 Replies
332 Views
“...vilevile inawezekana kulikuwa na majeruhi ambao waliamua kutibiwa nje ya mfumo rasmi, na wakafariki bila taarifa zao kufikishwa panapostahili. Tume pia ilipokea ushahidi na madai kuhusu watu...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Mama shikamoo Je ripoti hii itakisaidia Nini? Sawa ni yako lakini tukubakiame imeandikwa vifo vya watu je itakisaidia Nini?
1 Reactions
6 Replies
129 Views
Nacheka kama mazuri Wakuu ila daaah ni zaidi ya kupewa za uso😂🤣 Eti jamani, si hata Chande angesema mirioni mirioni angalau hata tungeshawishika kidogo🤣🤣. Kweli jamani mtu akarisk na kupigwa...
3 Reactions
1 Replies
135 Views
Tunao usalama hata hapa nilipo kaa lipo linakunywa mabia tyuuuu! Simlaumu yoyote nje ya boss wao yaani mpaka watu wanaingia nchini wanajificha wewe hukuwa na news au wataka niamini ulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Hahahahahhhhhh hicho ni kilio sio kicheko, je walikufa ni wachache au wengi? Nauliza je walikuwa wanawapinga wakina naninwasiingie ikulu?je uliepinga uliua 500 watu wajiskiaje?
0 Reactions
0 Replies
85 Views
  • Redirect
"Nguvu iliyotumika na vyombo vya usalama imesaidia kutufikisha hapa tulipofika vinginevyo tusingekuwa hapa tulipo japo kwa wale waliokiuka onyo tutawawajibisha" 🗣️ Rais Samia Suluhu Hassan
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
“Kuna jina kutoka Arusha ametoa ushahidi kuwa alipewa Shilingi 50,000 ashiriki maandamano na akapewa ahadi ya Shilingi Milioni 5 akishiriki Maandamano”___Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo...
1 Reactions
Replies
Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla...
8 Reactions
11 Replies
581 Views
Jaji Chande anasema tume ilipata taarifa ya mauaji ya watu 13 katika kibanda cha kuonesha video ambapo anasema kuna shahidi alisema wanaodhaniwa kuwa askari walivamia kibanda hicho na kuwapiga...
0 Reactions
18 Replies
490 Views
Back
Top Bottom