Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1.Rais Samia Suluhu Hassan Mei 14,2022 aliidhinisha ongezeko la karibu 25% la kima cha chini cha mshahara,na hivyo kuashiria kupotoka kwa sera za mtangulizi wake huku kukiwa na maandamano kuhusu...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanabodi, Naangalia matangazo ya moja kwa moja live kutoka TBC kuwaaga makamanda, wanajeshi wetu mashujaa hawa 14 waliopoteza maisha kule DRC katika kulipigania taifa letu kwenye medani za...
14 Reactions
321 Replies
58K Views
Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Bavicha wanazidi kuonekana kituko kwa kutimia mbinu za kizamani kudai Katiba. Angalia leo mlivyoiponza Simba
2 Reactions
18 Replies
1K Views
UVCCM_ TAIFA MEI 28, 2022 JAMBO LIPO MOROGORO Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Ndugu. KENANI KIHONGOSI atakuwa Mgeni rasmi katika MAHAFALI ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Seneti ya Vyuo na Vyuo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
21 May 2022 Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Hili jina kwangu sio geni na Leo nimejikuta nalitamka wakati napumzika kwenye mti. Iko Hivi nimetoka shambani kuvuna alizeti Sasa wakati natua mzigo nikavuta pumzi nikawa naitoa taratibu na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwaka 2020 after election, baada ya dora kugundua wameiba uchaguzi kishamba, ikabidi watafute mlango wa kutokea kwa kuwaingiza Bungeni wabunge 19 wa Chadema. Wadada hao walikisaliti chama...
19 Reactions
80 Replies
4K Views
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania. Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Bila shaka mmeona viwango vipya vya mafao kwa wastaafu ambavyo vimetangazwa hivi majuzi. Ikumbukwe kwamba, Rais Samia anasiku 433 madarakani na amefanya mambo makubwa sana kana kwamba amekaa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa na ndugu marafiki jamaa na wapenzi wa ndugu yetu James Mbatia; je, bado anahamu na CCM? Maana walimpa wafuasi kibao kule Rungwe Busokelo juu ya yote akakaribishwa ikulu na Mh Rais...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Picha: Joseph Selasini Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa...
8 Reactions
109 Replies
11K Views
Wadau nawasalimu. Naomba wenye Uwezo wa kuandika KESI ya UGAIDI aliyoshtakiwa Mh Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama Kikubwa cha Upinzani na Wenzake 3 Waiandike toka Kukamatwa kwao waliyoyapata...
1 Reactions
8 Replies
693 Views
Habari. Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli. Sabaya amesema...
5 Reactions
91 Replies
10K Views
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu...
19 Reactions
194 Replies
16K Views
WALIOMZOMEA SABAYA MAHAKAMANI WOTE WAMETENDEWA UHALIFU AU WALIKODIWA KUFIKISHA UJUMBE WA WALIOWATUMA? Kama kuna aliyedhani kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro Mhe. Lengai...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Tulishuhudia mkuu wa mkoa wa Dar Bw. Amos Makala alipoapishwa tu alitoka mbio mbio kwenda kutangaza oparation ya kuondoa machinga na ombaomba wote ili jiji lirudi kwenye hadhi yake ya usafi...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Hii ndio taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho duniani kote . Kwamba Jumamosi Tarehe 28/05/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi chama hicho kitakuwa na maelezo mazito mno kwa Waandishi wa Habari...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa...
26 Reactions
137 Replies
7K Views
Back
Top Bottom