Lengai Ole Sabaya amerejeshewa ulinzi?

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,122
2,000
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu, hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli.

20210618_193630.jpg
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
787
1,000
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
787
1,000
Tuhuma nyingi wanazomzushia Ole Sabaya hazina ushahidi wowote. Ni malalamiko tu. Kama mtu hakunyang'anywa hela yake, aliamua kutoa mwenyewe kama mtonyo, kuna shida gani? Mpokea rushwa na mtoa rushwa wote wametenda jinai.
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Tayari ulinzi wa leo unaonyesha huyu Kijana ni mkuu wa wilaya ya Hai
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
787
1,000
Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.

Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu. Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.

Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,836
2,000
Wachagga wanaamini they are unatouchables in this country. Mtu yeyote anayewagusa wachagga, basi hutumia vikundi vyao vya kuzikana na kuchangiana kumuandama. Reference ni Mnyeti, Byakanwa, Sabaya, Kihongosi na hata mjomba wao Gambo. Na kwa jinsi wanavyoshadadia kesi ya Sabaya wataishia kuharibu na kuaibika bure.
Jifunze kutumia akili, waliolalamika walitoa ushahidi wazi hata kabla ya haya kutokea. Walinzi wake mwenyewe wanakiri baadhi ya makosa ikiwa ni utekaji wa wanawake. Sabaya, Mnyeti, Makonda, Ally Happy , Chalamila mojawapo ya viongozi wabovu na wajinga kuwahi kutokea katika hii nchi. Hawa walilelewa vibaya na mwendazake wakajisahau. Watu hawa wana malalamiko ambayo yanawagusa watu wengi.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,338
2,000
Shujaa aliyekomesha utapeli wa kisiasa wilayani Hai na kumsitafisha rasmi ubunge mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ,leo amefikishwa mahakamani kwa heshima zote akiwa na ulinzi wa kiserikali kitu ambacho ni tofauti kabisa alivyofikishwa mwanzo.

Sabaya leo amefika mahakamani akiwa amevaa vizuri huku usoni akiwa amejawa na tabasamu ,hii ni dalili njema kwa wazalendo wa nchi yetu. Kuna kila dalili uongo waliomzushia sasa umeanza kujitenga na ukweli. View attachment 1823073
I stand by Ole Sabaya; guilty or not guilty.
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
Mimi nawashauri ndugu zangu wachagga warudi kuwa na impression ya national unity. Hizi groupings hazitawasaidia kitu. Mali mlizonazo mmevunia Tanzania nzima. Acheni kujipenda kupita kiasi na kupenda kuwabagua wengine au kupenda kuongozwa na mtu wa kwenu tu. Kuna awareness kubwa sana juu ya biasness yenu sasa katika hii nchi. Rudini katika hali ya umoja wa kitaifa.
Ninyi ni ndugu zangu kwa sababu tumeoa kwa wachagga na wachagga wameoa kwetu.
Nawafahamu wachagga kwa makundi yao vizuri sana. Wachagga wasomi na wenye pesa mnakoelekea kwenye maswala ya kitaifa siko. Rudini nyuma.
Ombeni ushauri mzuri kwa kina CD Msuya, Balozi Sefue, IGP Said Mwema(mstaafu) etc.
Wachaga ni matapeli sana wanapenda vya bwerere kiukweli Sabaya atampumxishq Mbowe kwenye siasa
 
Nigrastratatract

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
863
1,000
Jifunze kutumia akili, waliolalamika walitoa ushahidi wazi hata kabla ya haya kutokea. Walinzi wake mwenyewe wanakiri baadhi ya makosa ikiwa ni utekaji wa wanawake. Sabaya, Mnyeti, Makonda, Ally Happy , Chalamila mojawapo ya viongozi wabovu na wajinga kuwahi kutokea katika hii nchi. Hawa walilelewa vibaya na mwendazake wakajisahau. Watu hawa wana malalamiko ambayo yanawagusa watu wengi.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
wewe Sabaya sio size yako kaa kimya unyamaze Mbowe mwenyewe si size ya Sabaya yaani ukimuongelea Sabaya nchi inatikisika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom