Kwa mjibu wa tume ya kupambana na rushwa (Takukuru) mkoani Arusha imetangaza kuwa halimashauri mkoani humo zinaongoza kwa rushwa nchini.
Hili ni jambo la kusikitisha sana hasa ukizingatia kuwa...
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata milioni 3 nchi nzima.
Wametangaza bei ya kuunganishiwa umeme...
Binadamu alivyoimbwa ni tofauti na wanyama wengi anaowatawala maishani mwake kila siku. Anao uwezo wa kuificha ile hulka yake ya ndani kabisa akacheka kwa bashasha na uchangamfu na usiweze hata...
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.
Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka...
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
Viongozi wa BAVICHA...
Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira...
Siasa za Tanganyika kuna wakati zinachekesha sana
Hebu Soma hii Habari ya huyu Mwanasiasa alikuwa CCM akapata kuwa Waziri akatoka CCM na kujiunga na UPINZANI na kutoa Kauli hiyo kisha akatoka...
Murji kama David Silinde.
Murji amekuwa Mbunge katika majimbo zaidi ya matatu tofauti ndani ya mkoa wa Mtwara.
David Silinde naye amekuwa Mbunge wa Mbozi Mashariki,Momba na sasa Tunduma.
Mbeya...
Picha: Profesa Edward Hosea
Profesa Edward Hosea ameibuka mshindi kuwa rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika( TLS) kwa kura 621 dhidi ya wagombea wenzake Harod Sungusia 380 huku Jeremia...
Kichwa cha habari kinajitosheleza.
Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.
Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo...
Ni ushauri tu ili kunogesha Maridhiano.
Msamaha ni jambo jema
Ili.kutibu majeraha ya Awamu ya 5 ni vema Chadema nao Wawasamehe Halima Mdee na wenzake
Nccr amesema.nao wamsamehe Mbatia...
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho.
Pia soma
Abdulrahman...
1: Tozo elfu 50 toka elfu 2500 sasa hadi 5,500
2: kuunga umeme toka elfu 27 hadi 320,000
3: IST showroom 12.5 million hadi 18.5 million (alafu kuna vijana eti wanasubiria namba E [emoji23]...
Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa,
Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge...
Ilianza kidogo kidogo baada ya uchaguzi.
Lakini sasa imekuwa kero,kila kiongozi wa serikali hii hawezi kuishia kutaja majukumu tekelezi ya Serikali bila kurudia maneno
"Serikali hii ya awamu ya...
Salaam Wakuu,
Chama kipya cha Siasa kinachoitwa Umoja Party, inasemekana ni chama kinachofuata, Uongozi wa Hayati Magufuli. Inasemekana Vigogo wengi wa CCM wapo nyuma ya hiki chama.
Wafuasi...
Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli...
Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla.
Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.