Chama Kikuu cha Upinzani nchini ni ACT- Wazalendo siyo CHADEMA

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Habari.

Ili kuweka mambo sawa kuhusiana na Siasa za nchi yetu, ifahamike kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ni ACT- Wazalendo inayoongozwa na Zito Kabwe na siyo CHADEMA inayoongozwa na Freeman Mbowe.

Bila kujua wafuasi wengi wa CHADEMA wamekuwa wakikitambulisha kama Chama Kikuu cha Upinzani nchini wakati siyo kweli. Hadhi ya CHADEMA kuwa Chama Kikuu cha Upinzani nchini ilikoma mwaka 2020 baada ya kushindwa kila mahali na kuambulia Mbunge mmoja tu.

ACT-Wazalendo ina Wabunge wengi kuliko CHADEMA kwa sasa.
 
Muulize spika kama hajakuhesabia wale 19 jumlisha 1 wa Nkasi. By the way, wiki hii Zito amekubali kwamba aliumia kufukuzwa CHADEMA, Mbowe anastaafu lolote laweza kutokeandani ya ACT.
 
Hahahhahah... Ni kama mnashindana kuinanga Chadema... Kwani siku hizi kuna zile buku saba za enzi za mzee wa viieite (sic) na yule mzee wa naseka uongo ndugu zangu?.

Ni aibu kubwa kuwa mpaka sasa kuna watu wana mtazamo kama wako... Poor Rob!
 
Back
Top Bottom