CHADEMA tunazidi kujiimarisha vijijini

CHADEMA tunazidi kujiimarisha vijijini

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,233
Reaction score
98,194
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.

Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.

Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .

Hakika CHADEMA tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.
Screenshot_20220528-090236.jpg
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.

Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.

Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
Mungu zidi kuibariki CHADEMA.. Iweze kutimiza maono yake.. Aaamen [emoji1545]
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.

Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.

Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
Mmetisha sana. Big up
 
naona kabisa na vyanzo vya mapato vimewekwa
 
Chama kianze THE GREAT REBUILDING PROJECT. KIWEKE ASSETS KILA MAHALI.
IN 10 YEARS KIWE CHAMA TAJIRI KULIKO VYAMA VYOTE AFRICA.

IANZISHWE CHADEMA TRUST ITAKAYOKUSIKA KUSIMAMIA MALI ZOTE ZA CHAMA. MAAMUZI YA MALI YASIBAKIE KWA VIONGOZI WA CHAMA PEKEE.
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Cdm sasa hivi inakimbia kama upepo au kama moto wa nyika kwa jinsi inavyo zidi kuenea na kukubalika kwa watanzania.

Hili ni jengo jipya la ofisi ya chadema ktk kijiji cha Isenengeja wilayani Misungwi.

Hapo ni nguvu za wananchi tu zimetumika .
Hakika cdm tunazidi kuimarika sasa tuanze kutembea kifua mbeeeeereeeee tupo kwenye raiiiitiiiii tiraaaaakiiii.View attachment 2241860
Mikoani kuna ofis nzuri za chadema kuliko hata ile ya Makao makuu
 
Back
Top Bottom