Mahafali ya umoja wa vijana CCM Morogoro

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
UVCCM_ TAIFA
MEI 28, 2022

JAMBO LIPO MOROGORO
Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Ndugu. KENANI KIHONGOSI atakuwa Mgeni rasmi katika MAHAFALI ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Morogoro.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
IMG-20220528-WA0433.jpg
 
Chama kinaandaa makada kuanzia ngazi ya vyuo....scouting nzuri sana, hongera Katibu
 
Back
Top Bottom