voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,553
- 11,885
Ilianza kidogo kidogo baada ya uchaguzi.
Lakini sasa imekuwa kero,kila kiongozi wa serikali hii hawezi kuishia kutaja majukumu tekelezi ya Serikali bila kurudia maneno
"Serikali hii ya awamu ya Sita"
Kuna lengo gani au faida gani kwao?
Je, wakiishia kuitaja serikali bila kurudia kusema ni awamu ya ngapi majukumu hayatatekelezeka?
Au wanadhani wananchi ni wafinyu wa kumbukumbu?
Kwanini Serikali inaishi kwa kufanya kampeni ya kuibeba CCM,wakati vyama vingine vikiambiwa uchaguzi ulikwishaisha?
Lakini pia kwa nini CCM hii inaishi kwa kupigana na kivuli cha JPM?
Kwa kweli mapambio yamezidi hadi imekuwa Kero kwa wananchi walio wengi nchini.
Kauli kama
"haijawahi kutokea tangu Uhuru"
Zinawafedhehesha kuanzia Bungeni mpaka mitaani.
Ni kama vile CCM na watendaji wake huko serikalini hawana uhakika na 2025,kwamba kuna hofu imetanda ya kupigwa chini na wananchi?
Au ni hofu ipi iliyo mioyoni mwao ambayo inaelekea kuwatesa muda wote?
Au ni mpango mahsusi wa walamba Asali kupigana na kivuli cha jpm huku wakijitahidi kuifuta Legacy yake?