Membe: Nimerejea CCM kwa sababu kuu mbili

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,397
Reaction score
289,528
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini, Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili, Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hapo amejichanganya kama sio kutupiga mwana diplomasia huyu
 
Maswali magumu. Kila mtu anajua ni upande gani wa mkate wake una siagi. Ataramba upande huo.
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO

Membe = Samia = JK = Riziwani = Nape = Makamba= Mwigulu.​

Nimesema uongo ndugu zangu?​

Kama Magufuli alivyokuwa ameagizwa na mganga wake kutokutaja jina la Tundu Lissu wakati wa kampeni, hivyo hivyo Membe alikuwa hataki kabisa kutaja jina la Magufuli!! Maajabu hayatakwisha hapa duniani!
Membe alinichekesha wakati wa kampeni, anaomba kura anawaambia wapiga kura tunataka kuingia Ikulu tukamtoe mtu yulee!
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Hawa wazee wanakuwa na kiburi sababu vijana wengi hatawapi changamoto, we don't want to bother to seek explanation. Right kama wengikuwa wanaulizwa maswali magumu na vijna wenye uchungu na taifa hili sio walamba viatu hawa wazee wangechanganyikiwa na tabia zao ambazo hazitabiriki
 
Sababu ya kwanza ameitaja kuwa ni Baada ya Kushawishiwa na kuombwa na Viongozi wa Dini , Marafiki na Watu wake wa Karibu.

Sababu ya Pili ameitaja kuwa ni Dhamira yake ya kuitumikia CCM mpaka atakapoingia Kaburini .

Sasa swali langu ni hili , Hivi Mtu mwenye dhamira ya kuitumikia ccm mpaka kifo chake , huyu anahitaji ushawishi wa mtu mwingine ili arejee ccm ? Huyu mzee anataka kumdanganya nani kwa faida ya nani ? Hivi angesema tu amerejea ccm kwa sababu Magufuli Amekufa , na Wale wapambe wake wametimuliwa ccm nani angeshangaa ?

Hebu Tujadili huu uongo wa wazi wa huyu Mzee Membe , Kabla hatujaleta Video zake alipokuwa ACT WAZALENDO
Hakuna sababu mbili wala tatu.

Sababu ni moja tu.. “meko kafa”
 
Huyu mzee angepunguza kelele afanye mambo yake kimya kimya.

Kama ana dhamira ya kuitumikia CCM mpaka aingie kaburini, hao viongozi wa dini wametoka wapi?

Ananikumbusha zile ngonjera zake za niguse ninuke, akaguswa na chuma matokeo yake kimya wala hakuna kilichonuka!
 
Huyu mzee angepunguza kelele afanye mambo yake kimya kimya.

Kama ana dhamira ya kuitumikia CCM mpaka aingie kaburini, hao viongozi wadini wametoka wapi?

Ananikumbusha zile ngonjera zake za niguse ninuke, akaguswa na chuma matokeo yake kimya wala hakuna kilichonuka!
Kipindi cha Magu wote walijificha chini ya uvungu.

Sasa hivi wameibuka kila kona ya nchi wanatutambia.
 
Back
Top Bottom