Bernard Membe rasmi asamehewa na kurudi CCM

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
430
623
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho.

Pia soma

membe1.JPG
 
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemsamehe na kumrudishia uanachama wa CCM aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Camilius Membe aliyekuwa amefukuzwa ndani ya chama hicho.

Pia soma
Hata wauza madawa ya kulevya wametolewa - mama kaagiza wachunguzwe "wakiwa huru" wasije wakaharibu watoto wetu.

Kuna maagizo mengine unasikiliza, unatikisa kichwa unazima TV.

Hivi mama anajua nguvu za wauza madawa ya kulevya?
 
Sukuma gang na MATAGA kama wana akili, wangeanzisha chama chao mapema kwa ajili ya 2025!

Wakiupuuza huu ushauri wangu, basi wengi watakufa kwa presha! Maana hakuna namna.

Tatizo sio kuanzisha chama, bali watapata support ya vyombo vya dola?

Wanaccm wote wanategemea vyombo vya dola kufanya siasa, ndio maana wakitoka nje ya ccm wanapata shida sana.
 
Back
Top Bottom