Mbunge wa jimbo la Hai ofisi ya CCM ulikochukulia na kurudishia fomu za Ubunge haifanani na hadhi yako

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,627
21,027
Kichwa cha habari kinajitosheleza.

Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.

Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM.

Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la CCM wilaya.

Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?

Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred Kinana na comred Chongolo.
 
4E7F40CF-CACB-49B2-B287-E109EDC67918.jpeg
 
Duh! Hii ni aibu kwa wana CCM wa Hai. Ama ni sehemu maalumu ya kufanyia matambiko nini!
Kwa akili yako ya nyumbu tayari umeiamini hiyo picha?

Halafu mkifananishwa na Nyumbu mnalalamika?
 
Kichwa cha habari kinajitosheleza.

Mh mbunge saashisha mafue mbunge wa jimbo la Hai.

Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijans wa CCM.

Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la ccm wilaya.

Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?

Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred kinana na comred chongolo.
Huyi ni Mbunge wa viti maalumu hakuchaguliwa na wananchi wa Hai,hata yeye anajua na anajishangaa kuwa Mbunge.
 
Kwa akili yako ya kindezi umeshindwa nini kuleta picha ambayo unaiona ni sahihi na siyo hiyo iliyowekwa jamvini.
 
Huyi ni Mbunge wa viti maalumu hakuchaguliwa na wananchi wa Hai,hata yeye anajua na anajishangaa kuwa Mbunge.
Labda tumuulize yule aliyemwambia mshindani wake hata iweje hataweza kushinda ubunge🏃🏃
 
O
Kichwa cha habari kinajitosheleza.

Mh mbunge saashisha mafue mbunge wa jimbo la Hai.

Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijans wa CCM.

Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la ccm wilaya.

Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?

Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred kinana na comred chongolo.
Ofisi za CCM huwa zinajengwa na wabunge?Je,hiyo ni miongoni mwa majukumu ya mbunge?
 
Kichwa cha habari kinajitosheleza.

Mh mbunge Saashisha Mafue mbunge wa Jimbo la Hai.

Kwa masikitiko makubwa CCM inakushanga na inashindwa kukupima nafsi yako na ubora wa kazi yako pale ambapo ulichukulia fomu ya kugombea ubunge na kushinda uchaguzi huo hapafanana na wewe mbunge kijana wa CCM.

Ofisi hiyo ya chama tawala na ya wilaya inakulilia wewe umalizie jengo hilo na lifanane na jengo la CCM wilaya.

Huwa ukiwa jimboni kwako unafika hata kusaini kitabu cha wageni kwenye ofisi hiyo? Je 2025 utarudi kwenye ofisi hiyo hiyo kuchukua tena fomu ya kugombea ubunge?

Au utaomba chama kikuletee hiyo fomu nyumbani kwako uweze kuijaza? Ni matumaini yangu kuwa ujumbe huu utakuwa umemfikia comred Kinana na comred Chongolo.
Kwani kazi yake kuboresha ofisi ya chama?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom