Mbunge Shabiby amchana Waziri Makamba

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Mbunge Shabiby wakati akichangia hoja kwenye mjadala wa wizara ya nishati amemchana waziri January Makamba kuwa ni mpya kwenye wizara hiyo hivyo hajui chochote namna wapiga dili wanavyochezea wizara hiyo hasa kwenye bei ya mafuta.

Huyu Shabiby ndio mwizi wa kwanza wa mafuta. Anatumia njama kwa kubadilisha mafuta yaliopo ontransit kwenda nje ya nchi kisha anayashusha kwenye vituo vyake kinyemelea bila kulipa kodi. Ukiona anaongea ujue kabinywa mahala.
 
Shabiby ukiona kasimama Bungeni basi anazungunzia Biashara ya Fuel or ushindani wa kibiashara na wachuuzi wa kichina

mengine sio kiviiiiile

kila binadam kwanza anajipigania baadae ndio anafikiria wengine
Kuna muda namuelewa Shabiby na kuna muda naielewa wizara.
.
Basi nachanganyikiwa nielewe zaidi upande upi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Shabiby anauza mafuta, ila nilishamsikia akisema yeye anajua mafuta sehem yako kwa bei chee, kwanini asiruhusiwe alete jamani km ana uwezo huo??
Mafuta anayosema ni ya bei chee ni mafuta ya deal huko deep sea, ni kama vile uwe unatafuta simu ya kununua halafu nikwambie zipo za bei rahisi kinondoni kwa mateja ! Utanunua?
 
Unatetea ujinga
Eleza huo werevu, unaoujua wewe
nchi zenye vikwazo huwa zinapeleka mafuta sehemu kama deep sea.
Kwa hali ya kawaida huwezi ku load consignments ya lita laki kadhaa za mafuta na usijue unapopeleka , yale mafuta seep sea hayana consignee .

Ungekuwa umewahi hata kusafirisha belo la mtumba kutoka nje ungegundua kuwa bila ya jina la mpokeaji mzigo haupandi meli.
 
Bila shaka uko sebuleni kwa shemeji yako ndiyo maana huna akili
 
Matusi ya nn ,elezea mzigo unapandaje meli bila consgnee!
Meli sio fuso la nyanya kwamba upakie mzigo halafu usijue unashuka soko lipi, kuna kitu kinaitwa bill of lading, document inayo eleza mzigo unaopotoka , bandari ulipopakiliwa , mwenye mzigo na bandari unaposhuka.

Mheshimiwa sana anashauri tukanunue mafuta ambayo hata quality control yake si rahisi kuijua
 
Huyu jamaa kwenye hii nishati mafuta anajua mengi sababu kubwa ni kutokana pia ni mfanyabiashara wa muda mrefu kwenye mambo ya uchukuzi na anajua tokana na tafiti zake, ningependekeza rais au hata waziri Januari akae na wafanyabishara wa usafirishaji ili kupata mawazo mazuri
 
Angalia video ya mbunge
 
Kapewa fursa ya kuandika anayoyajua ngoja tuone
 
Mafuta anayosema ni ya bei chee ni mafuta ya deal huko deep sea, ni kama vile uwe unatafuta simu ya kununua halafu nikwambie zipo za bei rahisi kinondoni kwa mateja ! Utanunua?
Wenye uwezo wa kwenda huko deep-sea kununua Mafuta nao wapewe kibali, si kila Mtu atauuza kutokana na soko lake! Hiyo ndiyo maana ya Soko huru! Tuaache soko la mafuta lishindane lenyewe kuliko kuwapa watu wachache wajipangie bei wanavyotaka wao!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom