Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,891
33,450
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli.

"Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu ambaye angeistahili kuliko wengine wote ni Dkt. John Pombe Magufuli. Ni bahati mbaya hayupo nasi aweze kushuhudia matunda ya jitihada zake."-


tuzo.jpg
 
Back
Top Bottom