Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui Tanzania tunaogopa nin kuruhusu uraia Pacha, Watanzania wengi huko ughaibuni wanataman kuwekeza Nchini kwao wengine wana vipaji vya mpira, Music, Riadha n.k wanataman wachezee kwenye nchi...
5 Reactions
51 Replies
3K Views
Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari. Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema...
14 Reactions
296 Replies
38K Views
Tunapozungumzia siasa, tunajumuisha mambo mengi sana. Kijamii, kiuchumi, utamaduni nk. Kwenye suala la uchumi yapo mambo mengine yanaweza kuleta athari kiafya. Kwa mfano wapo wanaosisitiza ufugaji...
1 Reactions
3 Replies
591 Views
MAMA NI MLEZI… . Ndugu zangu acheni leo tuseme mazuri juu ya Mama yetu kipenzi na Mlezi wa Taifa hili Amri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan. Mama mengi...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu wa mikoa yote na wakuu wa wilaya zote Tanzania. Nimepitia mtandao maarufu wa video, YouTube, nikajionea wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya mbali mbali Tanzania jinsi mnavyotekeleza majukumu...
125 Reactions
264 Replies
31K Views
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), imeeleza...
27 Reactions
112 Replies
12K Views
Wanasiasa wa Tanzania wamezoea mahojiano ya hawa waandishi wa habari wa hapa nyumbani ambao wengi wao ni makanjanja. Katika mijadala utakuta mwanasiasa ndio anatawala kipindi hadi kufikia...
23 Reactions
99 Replies
11K Views
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja. Mwingine bila hata aibu...
12 Reactions
50 Replies
3K Views
Biblia inasema Usimpe kisogo anayekuomba Waswahili wanasema Kutoa ni moyo Kama wale walioandamana na kupelekwa vurugu zilizosababisha kifo cha Akwilina tuliwachangia gharama za Mawakili basi...
-1 Reactions
24 Replies
1K Views
Akichangia wizara ya nishati alifanya vituko vya hovyo sana, imani yangu hata aliyemtuma kumpigia promo (Makamba jr) alijisikia vibaya sana, alifanya mambo ya kijinga sana, hakuwa makini katika...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kila historia ya uhuru wa Tanganyika inapozungumzwa jina linalokaribia kumeza historia yote ni Julius Kambarage Nyerere(JKN). Ukimuondoa Nelson Mandela wa Afrika kusini hakuna kiongozi mpigania...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu Nadhani wote tunayajua aliyoyatenda general Ole Sabaya DC wa Hai akiwa madarakani. Dc Sabaya alitenda uhalifu mkubwa na leo tunashuhudia akiwa mahakamani tayari kahukumiwa kesi...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika kile kinachoonekana kwamba ni kiendelee kung'aa kwa nyota ya Mh.Rais Samia,Jarida maarufu la Takwimu na matukio adimu la Forbes Africa limeandaa makala au documentary maalum ya kumuelezea...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa...
9 Reactions
155 Replies
27K Views
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Tanzania tuna siasa mbovu ambazo kimsingi zimechangia kuua ndoto za vijana wengi wenye fani na taaluma mbalimbali ambazo wamezihangaikia tangu wakiwa wadogo...
14 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu kuna tatizo moja kwenye sera za Wizara ya Fedha kuhusu mafao kukatwa 40% ikiwa kodi ni 30% na NSSF,PSPF, PSSSF 10% kwa wanapewa mafao na kampuni zao baada ya kukatishwa mkataba ama kampuni...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nawasabahi. Naomba kuwashauri VIONGOZI WAKUU wa CHADEMA na Wanachama wao Wasibweteke na Mfululizo wa Mazungumzo na RAIS SAMIA na CCM kwani Yanadhohofisha KASI yenu ya KUDAI KATIBA MPYA...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Watanzania wengi wanabadilisha mifumo ya magari yao na kutoka kwenye Petrol engine na kuweka mifumo ya gesi asilia. Sababu kubwa ya marekebisho hayo ni kutotabirika kwa bei ya Petrol Source: BBC...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
WADAU WAHAMASISHWA MATUMIZI YA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI KUTOA HUDUMA KWA JAMII Na Mwandishi Wetu, DODOMA Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojhia ya Habari imekutana na wadau wa Mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…