Hili sio Bunge tena bali ni genge la watafuna kodi za walalahoi wanaosifia Royal tour isiyokuwa na tija

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja.

Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini. Ajira za kila aina zimeanza kupatikana baada ya royal tour kuingia nchini.

Hawa ndio wabunge wanaolipwa kwa kodi za walalahoi
 
Lakini kuna ukweli kwamba huu ndiyo msimu wa utalii wa wazungu (summer holiday). Miezi hii na ile miezi ya December wazungu wanafanya sana utalii.
 
Tafuta kazi ufanye, ni kweli unakera sana na ma thread yasiyo na kichwa wala miguu kuponda kila kitu cha Samia.

Unalipwa nini kwani kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki?

Na ninakukanya jibu kwa staha, ukifungulia matusi nitakujibu kwa matusi.
 
Wewe mama umekosa huduma?
 
Haya yote yamesababishwa na Mwendazake. Kuwafanyia fitna Wawakilishi wa Wananchi na kuwapeleka Wawakilishi wake.
 
Tafuta kazi ufanye, ni kweli unakera sana na ma thread yasiyo na kichwa wala miguu kuponda kila kitu cha Samia.

Unalipwa nini kwani kwa kujitoa ufahamu kiasi hiki?

Na ninakukanya jibu kwa staha, ukifungulia matusi nitakujibu kwa matusi.
Mama umevaa shanga? Unahitaji huduma?
 
Kivipi? Maana vivutio vya Tanzania ni vilevile na vinajuliakana hata kabla ya Royal tour.

Marketing huwa inafanywa ili kushawishi watu wanunue bidhaa hata kama wanaijua. Mzungu mwenye hela anaweza kwenda holiday popote pale akiamua siyo lazima aje kutembelea mbuga za wanyama au kuja Zanzibar. Marketing inamshawishi badala ya kwenda kwa mfano beach ya Bora Bora aje Zanzibar.
 
Marketing huwa inafanywa ili kushawishi watu wanunue bidhaa hata kama wanaijua. Mzungu mwenye hela anaweza kwenda holiday popote pale akiamua siyo lazima aje kutembelea mbuga za wanyama au kuja Zanzibar. Marketing inamshawishi badala ya kwenye kwa mfano beach ya Bora Bora aje Zanzibar.
Marketing inafanyika sana. Ndio maana utalii upo vizuri. Marketing hata kwa kutumia Websites na aina nyingine inatosha.
 
Back
Top Bottom