Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Wadau nawasabahi.
Naomba kuwashauri VIONGOZI WAKUU wa CHADEMA na Wanachama wao Wasibweteke na Mfululizo wa Mazungumzo na RAIS SAMIA na CCM kwani Yanadhohofisha KASI yenu ya KUDAI KATIBA MPYA
MOTO wa Kudai KATIBA MPYA wakati Mh MBOWE na Wenzake wako kwenye KESI ya UGAIDI UMEPUNGUA SANA naona ni BAVICHA TU ndio Wanazunguka na Sio VIONGOZI WAKUU
Ushauri
KIKOSI Kazi kipo kwa Ajili ya KUWAPOZA na Kuchelewesha KATIBA MPYA , KIKOSI Kazi kimeundwa na Mwenyekiti wa CCM kimesheheni MAKADA watupu wa CCM
Pia CHADEMA suala la WABUNGE FAKE 19 msilipuuzie CCM inataka waendelee kuwa BUNGENI KUSHINDWA kwenu kuwang'oa BUNGENI mtakuwa mmehalalisha kuwa MMETAMBUA UBUNGE WAO CHEZENI KARATA YA KUWAFUKUZISHA BUNGENI HATA KWA KWENDA MAHAKAMANI KUTAKA TAFSIRI YA UBUNGE WAO WA KUTOKUWA WANACHAMA WA CHAMA CHA SIASA