Afisa Tabibu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 519
- 874
Sijui Tanzania tunaogopa nin kuruhusu uraia Pacha, Watanzania wengi huko ughaibuni wanataman kuwekeza Nchini kwao wengine wana vipaji vya mpira, Music, Riadha n.k wanataman wachezee kwenye nchi yao Tanzania.
Tunakwama wapi kama Taifa kuruhusu uraia pacha, Unahisi nin kikwazo kwenye hili?
Tunakwama wapi kama Taifa kuruhusu uraia pacha, Unahisi nin kikwazo kwenye hili?