NOTE
Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo
Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa chama hicho kiko tayari kuingia kwenye mchakato wa maridhiano kwa lengo la "kuiponya nchi" na si kuridhiana na...
Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni...
Ukifanya utafiti mdogo utagungua kuwa kumbe Chadema kimejaa watu ambao wamekataliwa na jamii mfano, wezi, ma single mothers, waliokimbia shule, matapeli, nk.
Watu wakiona mfuasi wa Chadema...
Hivi karibuni kume kuwa na hitimisho wa uchunguzi ya yaliotokea MO29, na Kwa tamko kwamba walio anda au kuratibu, matokeo ya siku hiyo walikuwa wamepata mafunzo no. Je Polisi wetu na usalama...
Jana baada hafla ya kupokea ripoti ya Tume ya Jaji Chande redio Wapo ilikuwa na kipindi cha maoni ya wasikilizaji, msikilizaji mmoja alituma maoni yake ya kutokubaliana na baadhi ya hoja, cha...
Hatua ya kwanza ya Tume ilikuwa kujiwekea Kanuni za Utendaji kulingana na Kifungu cha 11 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi Sura ya 32 Toleo la 2023.
Kanuni hizi zilikuwa mwongozo wa kuendesha kazi...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box.
Huu...
Ni usiku wa saa kumi Nina amini Ole Sabaya upo hai au umeondoka, Mbowe najua uko hai, lakini Makonda sjui uliko maana ushakuwa waziri Sasa walindwa, nakushauri uimalishe ulinzi wako, usizanie...
Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi...
Wakuu,
Eti wanataka tuache kuibagaza ripoti yao ushuzi tuhamie kwenye jambo jingine, lakini wanatia petroli kwenye moto🤣🤣 yaani ndo wameona Kizigha atazima hii, kabisaaaa? Haya wacha tuendelee...
wakuu,
hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa majibu kwa chama cha ACT Wazalendo kuhusu ombi lao la kuchukuliwa hatua dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos...
Dawson Kagine kupitia Mtandao wa X, amesema kuwa
''Amos Makalla ashtakiwa Kwa kesi ya Jinai.
Mimi na ndugu Yangu wa damu Martin Maranja tumemshataki Ndugu Amos Makalla Kwa matamshi yake ya...
John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kusema hatua alizochukua dhidi ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na...
CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji.
Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi...