PostGE2025 Nani adai ownership ya Ripoti Batili?

PostGE2025 Nani adai ownership ya Ripoti Batili?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,882
Reaction score
141,490
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.

Hakuna namna hata ufanyeje.

Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.

Sasa huyu Samia leo anasema eti hiyo ripoti feki ya Chande ni mali yake binafsi na wasijitokeze watu kudai ownership [whatever the hell that means].

Kwanza, hakuna aliye na akili timamu atayedai ownership ya ripoti ya tume batili iliyoundwa na Rais haramu?

Pili, huyo Samia kathibitisha lile jambo ambalo tulilipigia makelele, kwamba, hiyo tume si huru wala halali. Mgongano wa kimaslahi ulikuwa wazi kabisa.

Bure kabisa!
 
Unajua bana….ukiwa huna akili ni hauna tu.

Hakuna namna hata ufanyeje.

Ukiachiwa uongee lazima utaongea pumba tu na kuzidi kujichoresha vile namna unavyohusika na jambo.

Sasa huyu Samia leo anasema eti hiyo ripoti feki ya Chande ni mali yake binafsi na wasijiyokeze watu kudai ownership [whatever the hell that means].

Kwanza, hakuna aliye na akili timamu atayedai ownership ya ripoti ya tume batili iliyoundwa na Rais haramu?

Pili, huyo Samia kathibitisha lile jambo ambalo tulilipigia makelele, kwamba, hiyo tume si huru wala halali. Mgongano wa kimaslahi ulikuwa wazi kabisa.

Bure kabisa!
Huyu tupo nae mpaka awe mwehu
 
Watanzania walivyo wajinga yawezekana wapo waliotegemea jambo la maana kutoka kwenye ile tume.

Watanzania mnapaswa kufahamu kwa sasa nchi yenu inaongozwa na binadamu ambao siyo wa kawaida kabisa
 
Lilikua kusanyiko la minyang'au inayotafuna kodi za watanganyika na kumwaga damu zao.
20260423_092437.jpg
 
😄

Ova
 
Attachments

  • IMG-20260423-WA0001.jpg
    IMG-20260423-WA0001.jpg
    80.5 KB · Views: 14
Back
Top Bottom