Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu , ambapo uzinduzi wake utafanyika Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi...
1 Reactions
14 Replies
404 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, akifanya Mahojiano na Chombo cha habari cha kimataifa BBC Aprili 24, 2026 amesema Vijana waliopewa mafunzo ya...
0 Reactions
21 Replies
394 Views
Mwenyezi Mungu aendelee kusimama na kila mmoja na kusimama na Taifa letu. Ni imani yangu bado kila mmoja anakusudi la kweli katika kudumisha amani, kukuza umoja wa kitaifa na kusimamia misingi ya...
0 Reactions
11 Replies
307 Views
Jicho la mwewe leo linatua kwenye mfumo wetu wa kisiasa na kuangazia miaka 27 ya mfumo wa vyama vingi na uwezo wa vyama hivyo kama mbadala wa CCM. Kwa kipindi hicho chote, tumeona na kushuhudia...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndio maana nchi kama USA na zilizoendelea Maprofesa wanabaki vyuoni kufundisha. Prof Kabudi anazingua na amepotea kabisa. Anaulizwq maswali anajibu kama mtu asie na elimu kabisa. Mfano...
7 Reactions
14 Replies
409 Views
Wanaukumbi, kama ulifuatilia hii tume Chande tangu mwanzo mpka mwisho wake utagundua huenda tulichosomewa na tume sicho kilichogunduliwa na tume. Nachodhani tume ilipeleka ripoti, baada ya...
6 Reactions
24 Replies
400 Views
Ushahidi uliojitokeza ulionyesha kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kama fursa ya kuwachochea kushiriki katika ghasia. Vichocheo mahsusi vilichunguzwa na...
1 Reactions
6 Replies
146 Views
Tumekuwa tunasikia CCM inamiliki mashamba, viwanja, kumbi na miradi mingine lukuki ambayo chama kinaitumia kuendeshea shughuli zake na hivyo kuondoa uwezekano wowote wa kutumia mali za serikali...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2015, vyama vya upinzani hali yake ni mbaya sasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2020. Mpaka ninavyoandika hapa na kama hali ikiendelea hivi, Uchaguzi Mkuu wa 2020...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani...
1 Reactions
43 Replies
1K Views
Haya ni Mapungufu ya Ofisi ya Katibu Mkuu, na hasa aliyekuwa Naibu Benson Kigaila Kosa hili lisirudiwe tena, inafahamika wazi kwamba Odera alishaugua kichaa na kufungwa kamba miguu na mikono Mara...
2 Reactions
13 Replies
256 Views
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na...
7 Reactions
43 Replies
833 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD na aliyekuwa Mgombea Urais wa kupitia chama hicho Doyo Hassan Doyo, amesema hayo Aprili 23 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
51 Reactions
141 Replies
7K Views
Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali...
33 Reactions
207 Replies
4K Views
Watu wamechukia sana kila kona na hata kila kitongoji cha taifa hili. Watu walishuhudia kwa macho yao kuwa maandamnao yalikuwa ni kwa ajli ya kupinga ufisadi, utekaji na nepotism. Leo inatoka...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Kwa mnaojua Protocol, naomba kujua baada ya ripoti ya Tume kutolewa nini kinafuata? ICC wanaanza uchunguzi wao lini? Nisaidieni kujua wakuu angalau mnitoe tongotongo!
5 Reactions
13 Replies
340 Views
NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo...
4 Reactions
35 Replies
416 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesisitiza kuwa chama hicho kiko tayari kuingia kwenye mchakato wa maridhiano kwa lengo la "kuiponya nchi" na si kuridhiana na...
0 Reactions
7 Replies
322 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…