Kigaila, CHADEMA upotoshaji huu taarifa yenu kwa umma kuhusu mgogoro wa Loliondo

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,551
11,882
Chadema ni Taasisi kubwa nchini,Je! hamfahamu kwamba,
Oman na UAE ni nchi mbili tofauti.

Mnapaswa kuonesha ukomavu wenu kwa kutoa taarifa sahihi na zenye kuonyesha Weledi na Ukweli sahihi kwa Umma.

Taarifa ambazo zitatokana na utafiti makini wa kitaaluma zaidi,msifanyie kazi mambo ya kuambiwa zaidi.

Benson Kigaila alipoongea kwenye Press Comference ya juzi kuhusu sakata la Loliondo.

Alitoa taarifa kwamba Mfalme wa Oman alianza kuingia kule Ngorongoro mwaka 1992 kuwinda wanyama.

Baadae alinogewa,na miaka iliyofuatia alinunua eneo lile ambapo alifanya uwindaji mkubwa wa kutisha ikiwemo pia kuhamisha wanyama pori hai.

Kwamba mpaka sasa kinachoendelea huko ni Serikali kutaka kuwanyang'anya wamasai eneo lao na kumpatia yeye.

Taarifa yake ilikuwa na mapungufu makubwa ambayo yanaweza kuleta taharuki kidiplomasia.

Ukweli ni kwamba 1992 aliyeingia Loliondo kuwinda kwenye vitalu vya uwindaji kihalali.

Alikuwa sio mfalme wa Oman .

Bali alikuwa ni Mwanamfalme kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu.
United Arab Emirates
(UAE).

Hizo ni nchi mbili tofauti kabisa.

Kwa hiyo Chadema kama chama kikomavu kisiasa.

Hamkupaswa kuja na taarifa ambayo sio sahihi na inayoweza kuleta mgogoro kidiplomasia,endapo ubalozi wa Oman ukiamua mumsafishe Mfalme wao kwa tuhuma ambazo sio zake na wala nchi yake.

Lakini pia mlitakiwa kujitokeza hadharani na kutoa tamko la kuomba radhi kwa Umma kwa kutoa taarifa isiyo sahihi.

Na baadae mueleze taarifa sahihi za nchi na mhusika wake.

Pia ieleweke kwamba ni kweli,Mwanamfalme huyo wa UAE anamiliki eneo kubwa huko Loliondo kupitia kampuni yake inayoitwa Ortelo Business Company OBC.
Ambayo imesajiliwa nchini na inamiliki vitalu vya uwindaji wa kitalii huko Loliondo.
Ni katika eneo hilo ambako huyu Mwarabu amekuwa akifanya mambo yake hayo ya uwindaji na ambayo yaliwahi kuibua kashfa maarufu ya "Loliondo Gate"
Enzi za utawala wa Rais Mwinyi.

Eneo hilo ni tofauti na eneo la hifadhi ya Ngorongoro NCAA.

Ngorongoro Conservation Area Authority, ina eneo la ukubwa wa kilomita za mraba zipatazo 8,292.

Na hivyo basi,eneo linalomilikiwa na Mwarabu sio sehemu ya NCAA.

Hayo ni maeneo mawili tofauti kabisa.

Chadema ya Dk slaa ilikuwa makini na kutoa taarifa sahihi na zilizosheheni ukweli.

Hii Chadema ya Mnyika mnakwama wapi?

Najua mko humu kwa wingi njooni mnijibu kwa hoja kama ni Uongo.
 
Garbage
 
Njooni mnijibu kwa hoja kama mnazo.
Kama niliyosema ni uongo.
 
Hangaya ameenda kwa waarabu basi hiyo inatosha kwao hawana haja ya kuumiza vichwa kutofautisha
 
Kukosea kutaja jina la huyo mwarabu alikotoka hakuna mshiko. Mshiko hapo upo kwenye hoja iliyotolewa. Jibuni hoja huyo mwarabu hapo Ngorongoro amewekeza kitu gani? Au amekuja kuvuna rasilimali yetu?
 
nchi ngumu hii
IMG_7477.jpg

IMG_7475.jpg
 
Kukosea kutaja jina la huyo mwarabu alikotoka hakuna mshiko. Mshiko hapo upo kwenye hoja iliyotolewa. Jibuni hoja huyo mwarabu hapo Ngorongoro amewekeza kitu gani? Au amekuja kuvuna rasilimali yetu?
Kwa Mfano mfalme wa Oman . Akiidai chadema fidia ya kuharibiwa heshima na utu wake mbele ya Dunia.

Mtaiweza hiyo kesi?
 
Huyo mfalme mwenyewe wa oman ana kesi ya kujibu, ulishawahi kiona mwizi amekwenda kulalamika mahakamani??

Chadema walichofanya ni kujichanganya tu kidogo kutofautisha kati ya Loliondo na Ngorongoro
 
Back
Top Bottom