Je, Unajua umuhimu wa Bajeti ya Serikali kwa mwananchi?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,533
8,321
Bajeti ya Serikali ni Mkadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka wa fedha. Juni 14, 2022 Waziri wa Fedha na Mipango atasoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2022/23.

Bajeti husaidia Wafanyabiashara kujua namna bora ya kufanya biashara zao baada ya kuona mabadiliko ya kodi, tozo na ushuru ambazo huweza kuwa ni fursa au maumivu.

Pia wananchi hupata fursa ya kujua vipaumbele vya serikali na namna ya kutumia fursa hizo.

Je, wewe mwananchi unafahamu umuhimu gani mwingine wa Bajeti ya Serikali.
 

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,753
1,638
Kwa CCM hii , bajeti itayosomwa na MWIGULU NCHEMBA hesabia kama ni SALAMU ZA RAMBIRAMBI tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom