President Samia: No more Business to the Government, Private sector will do the Business

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,426
7,736
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.

Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.

Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.

Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.

Anachokisema mama Samia kitazingatiwa na wafanyabishara wa humu ndani, lakini wafanyabishara wa nje ni ngumu, kwani wanajua kabisa huku hakuna sheria, bali kuna utashi wa Rais. Hivyo wanajua fika akiingia Rais mwingine mazingira yanaweza kubadilika muda wowote. Na ushahidi wa mwenendo huo upo wazi.
 
Tuanze na ATCL,TTCL,STAMICO,TANESCO na mashirika mengine ya umma yanayofanya biashara yavunjwe mara moja.

Serikali inapaswa kuwa msimamizi na kuruhusu uwepo wa sera rafiki kwa private sector ili kuruhusu ushindani...na kuleta unafuu wa biashara nchini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.

Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.

Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.

Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.

Katika nchi zenye uchumi unaokua, serikali hazifanyi biashara! Biashara ni hodhi ya private sector, hawa ndio wenye ujasiri na umahiri wa kubeba risk na mikikimikiki ya kufanya biashara! Kazi ya serikali ni regulation; mind you: sio over-regulation au micro-management! Utaratibu wa serikali kufanya biashara ulikuwa ni usanii wa magufuli kujifanya anamuenzi baba wa taifa ili kuturudisha kwenye mfumo Command economy ya kijamaa na kisoshalisti wakati kumbe hiyo ilikuwa ni pazia tu la kufanya ufisadi na uovu wa kutisha dhidi ya raslimali za taifa na maisha ya wananchi!
Good riddance magufuli!
 
Anachokisema mama Samia kitazingatiwa na wafanyabishara wa humu ndani, lakini wafanyabishara wa nje ni ngumu, kwani wanajua kabisa huku hakuna sheria, bali kuna utashi wa Rais. Hivyo wanajua fika akiingia Rais mwingine mazingira yanaweza kubadilika muda wowote. Na ushahidi wa mwenendo huo upo wazi.
Ndio maana tunaitaka katiba mpya,huu ndio mwarobaini pekee wakuifanya nchi isonge mbele na iendelee. Haiwezekani,mtu mmoja anakuwa muamuzi wa mwisho wa chochote badala ya sheria kuamua.

Porojo zitaisha tukipata 'katiba mpya'
 
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.

Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.

Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.

Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.

Good, serikali ibakie kufanya uwezeshaji na kukusanya Kodi za kutoa huduma kwa Wananchi..

Hii habari ya serikali kufanya biashara imetia hasara kubwa Sana kwenye Hii Nchi..

Biashara ambazo serikali inaweza kufanya labda ni kama za gas napo lazima wawe na partnership na wenye teknolojia na soko.
 
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.

Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.

Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.

Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.

Pia Serikali iunde chombo maalumu cha kutangaza fursa za biashara Tanzania yaani kufanya marketing na promotions..

Wakiandaa events ndio wanamualika Rais iwe Tanzania au ughaibuni then TIC ibakie na jukumu la kumalizana na Wawekezaji.
 
Anachokisema mama Samia kitazingatiwa na wafanyabishara wa humu ndani, lakini wafanyabishara wa nje ni ngumu, kwani wanajua kabisa huku hakuna sheria, bali kuna utashi wa Rais. Hivyo wanajua fika akiingia Rais mwingine mazingira yanaweza kubadilika muda wowote. Na ushahidi wa mwenendo huo upo wazi.
Hata iwekwe kwenye katiba, itabadilishwa, iwe sheria itabadilishwa. Yeye afanye yote akijua kabisa kwamba there will be an overhaul in the future.
 
Sekta binafsi anayozungumzia ipi hiyo,hii iliyojaa wachuuzi wa bidhaa za mchina🤣🤣🤣
Huyu Mama uwezo wake wa kuchanganua Mambo ni mdogo,Historia yetu ya Uchumi wa kijamaa inajulikana, Kwaiyo tunapaswa kwanza kujenga private sector imara ndiyo useme Sasa Serikali inakaa pembeni Kama Nigeria,Ghana, Algeria, Egypt na South Afrika.
 
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.

Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.

Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.

Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.

Nakusapoti sana mama Rais wetu, Hii ya serikali kufanya biashara inatia ukakasi.
 
Hata iwekwe kwenye katiba, itabadilishwa, iwe sheria itabadilishwa. Yeye afanye yote akijua kabisa kwamba there will be an overhaul in the future.

Ni investment gani inayovuka 10b unaweza kuifanya ikawa imekulipa ndani ya 5-10yrs tu? Kama mtu hana uhakika na utawala zaidi ya miaka 10 atadhubutu vipi kuweka fedha zake?
 
Aliposema kuna fursa kwenye transport tuombe mungu amaanishi reli.

Ipo hivi kuendesha reli kwa private firms huko kwa mabeberu baada ya serikali kujenga miundombinu.

Fixed costs unatakiwa kulipa gharama za maintance upkeep for the duration of the contract upate hasara au faida lazima ulipie ukishindwa wanauza mali zako utoe hiyo hela.

Wafanyakazi wa reli ni members wa Union na serikali inachukulia kama waajiri wake wakata ticket, wasafisha vituo na wahudumu; pension zao lazima ulipie ukishindwa wanapiga mnada mali zako.

Faida ndio variable ukipata hasara watakuseheme, ukipata faida unalipa kodi kwanza na unawapa share yao kila mwaka.

Vinginevyo fines kama hizo kwenye article ni mambo ya kawaida kushindwa kutimiza contractual obligations na ata ukichelewesha huduma bila ya sababu za msingi unalipa fines kwa wateja.

Sasa tukisikia reli nchi za wenzetu zinaendeshwa na private firm sio sandakalawe. Utaki kujua mziki wa masharti yaliyopo kwenye nishati hayo ya reli cha mtoto.
 
Rais Samia akiwa nchini Oman, ameshiriki kongamano lililojumuisha wafanyabiashara wa Oman na Tanzania leo Julai 13, 2022.

Rais Samia amesema tangu achukue madaraka Serikali yake inaongoza pekee na biashara zinafanywa na sekta Binafsi. Rais Samia amesisitiza na kusema amemaanisha aliposema hakuna biashara zaidi kwa Serikali.

Rais Samia kasema wao kama Serikali wanatengeneza mazingira bora kwa sekta binafsi iwe wa ndani au nje kukua na kufanya biashara Tanzania.

Kwenye utawala wa awamu ya tano Tanzania ilishuhudia ufufuaji wa mashirika na kufanyiwa uwekezaji mkubwa ili kufanya biashara sambamba na sekta binafsi kama TTCL, ATCL na TBA.

Hiyo sekta inatakiwa mpaka sasa iwe imeshakomaa.
 
TANESCO inafanya nini?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom