Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,671
- 40,913
Ukiangalia mfumo wa uongozi wa awamu ya sita na nne vinafanana sana. (Makusanyo hafifu ya kodi na gharama kubwa za maisha kwa wananchi kwa manufaa ya wafanaya biashara, huduma mbovu za sekta ya umma).
Viongozi waliokuwa awamu ya nne katika mashirika ya umma na taasisi nyingine wamerejea kwenye nafsi zao awamu hii ya nne./ Sita( Kinana, Makamba, Nehemia Mchechu)
Baadhi ya mambo yaliyopewa kipaumbele awamu ya nne yamerejea tena kwa kasi awamu ya sita.( Mfano uuzwaji wa wanyama pori na mbuga za wanyama)
Marafiki na wadau wa awamu ya nne ndio hao wenye nafasi awamu hii ya sita. (Mfano Rostam Aziz).
Sasa tunashindwa kuelewa kama tumerejea awamu ya nne au ni awamu ya sita iliyoboresha ya awamu ya nne.
Tuna kila sababu ya kuiona awamu ya sita na sio kuiona awamu ya nne katika awamu ya sita au kuiona awamu ya sita iliyoboresha awamu ya nne.