Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Jana niliangalia video clip Moja Mh Rais akisema hakutarajia kupokelewa na Mfalime wa Uarabini nikajiulize je hakujua kama ni mkuu wa nchi?? Kwanini ashangae je alitegemea kupokewa na Naibu waziri??
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba leo amewasilisha mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ya tsh 41.06 trillioni. Dr Mwigullu amesema Kilimo kitapewa kipaumbele. ====== SERIKALI...
7 Reactions
87 Replies
7K Views
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa “Ngorongoro Mungu aliwapa uwezo wa kukaa na wanyama pamoja hili linavutia na huwezi kuzungumza utalii huu bila ya nyie kuwepo, nikiri mna mchango katika...
7 Reactions
58 Replies
5K Views
Imeelezwa kuwa wakati serikali ikiendesha zoezi la kuweka mipaka katika Pori tengefu la Loliondo, makundi ya wananchi kutoka Kenya wamewavamia askari na kuwashambulia kwa silaha za jadi ikiwemo...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Ndugu wana Jamii wenzangu,Mada imejikita zadi kwenye swali tajwa hapo juu . Kwani nini taifa letu la Tanzania halina waziri aliye na cheo cha kijeshi katika wizara ya ulinzi Kama yalivyo mataifa...
7 Reactions
163 Replies
10K Views
Richard Temu, ni mfanyabiashara mlanguzi wa kakao katika Wilaya ya Kyela, ambaye hulangua kwa bei ya chini toka kwa Wakulima na kuziuza kwa mfumo uliowekwa na Serikali wa Stakabadhi ghalani...
8 Reactions
75 Replies
6K Views
Nikikuuzia au kukupangishia haka kakiwanja utanipa sh. ngapi? watoto watalalamika lakini mwishowe yataisha we kama unapapenda hapa sema tuongee bizinez. na wao nitawaambia hii pesa tunafanyia...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
BIOGRAPHY YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Ndugu zangu nimepokea ujumbe huo hapo chini: "Jana nilihudhuria Seminar juu ya Biography ya Mwalimu Nyerere pale Council Chamber Chuo...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa katiba hii ambayo inampa Rais madaraka ya kufanya lolote,kuna siku nchi itauzwa na utapiga makofi Nchi zingine duniani Spika na Jaji mkuu ni watu wenye nguvu kweli kweli sambamba na Rais...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Afrika na Dunia nzima inakiri kuwa Dr. JPM (Hayati) ndie kiongozi bora na mzalendo kwlikweli kuwahi kutokea katika karne ya ishirini na moja. Ni rais pekee aliyethubutu kutoa maisha yake kwa...
9 Reactions
66 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Mama anaendelea kuweka rekodi kwenye Kila sekta.Sekta ya viwanda, biashara na uwekezaji nayo imeshuhudia mapinduzi makubwa. Kwa mwaka mmja tuu wa mama madarakani...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi? Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala...
21 Reactions
252 Replies
16K Views
Siku chache mara baada ya Mkurugenzi wa jiji la Arusha kung'olewa wadhifa wake kimizengwe kupisha uchunguzi,madudu kibao ya katibu tawala mkoa wa Arusha, Athumani Kihamia, yameanza kuibuka...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
RAIS SAMIA MPENDA UTU, WAMASAI HAWAONEWI. TUSIPOTOSHE!! Na: Suphian Juma Kuna mjadala tengenezwa unaendelea kuhusu Sakata la ndugu zetu Wamasai kuonekana ya kwamba wanaondelewa kwenye Hifadhi...
7 Reactions
63 Replies
4K Views
UNESCO: Wenyeji wa Ngorongoro Wahame. Wafanyakazi wa NCAA na Mahoteli waishi nje ya Hifadhi Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro si eneo ambalo ni Hifadhi ya Taifa na vile eneo hili la Ngorongoro halipo...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
MSHINDANI WAKO ANAPOJIGEUZA MSHAURI MWEMA. LOLIONDO FACTS CHECK SIKU Ukiona Mshindani wako katika jambo mnalishindania anakusauri juu ya kufanikiwa kwako kwenye jambo hilo JITAFAKARI SANA...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Kwa mara kadhaa nilikuwa nikifuatilia mikutano ya PM na Jamii ya Wamasai, kwenye ule utaratibu wa kuishirikisha jamii ya Kimasai kwenye masuala ya uhifadhi, mara nyingi kauli zao ni kwamba wapo...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Msemaji wa serikali ya ccm Leo amesema amefurahishwa sana kuona Media zipo kimya kwani kinachoendela kule ni propaganda tu. Baada ya hapo wanahabari wamepiga makofi kwa shangwe nakusema hawapo...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…