Huo mkoa mbona kama umesahaulika kiasi hicho! Katika barabara mbovu kuwahi kutokea hapa nchini basi barabara ya nyakanazi hadi kigoma ni barabara mbovu kuwahi kutokea katika barabara zote nchini...
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu amesema pamezuka tabia ya kufanya Sherehe pindi bajeti fulani inapopitishwa
Baada ya Sherehe wahusika huanza kugawana dili za miradi mbalimbali
Hivyo Waziri wa...
Leo hapa Muscat Mama alikuwa anafanya mahojiano na redio ya kiswahili inaitwa Karafuu FM akahojiwa kuhusu watu kumuita Vasco da Gama huwa anajisikiaje?
Mama kasema hiyo haimpi shida maana wengine...
Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya...
Bajeti kuu ya Serikali inasomwa bungeni,huku Rais wa nchi akiwa yuko kuzurura nchi za nje?
Kwenye nchi za wenzetu huko wanakojielewa hili suala huwa lipo kweli?
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza Serikali kubadili utaratibu uliopo ili kuwakopesha magari watumishi wa umma wenye hadhi ya kuwa na gari la Serikali ikiwa ni mkakati wa...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa...
Kwa umri wa CCM kama chama , na kwa umri wa wanachama wake na viongozi wote wazee waliopita hapo , na kwa umri ambao chama hiki kimetawala na kuongoza Tanzania ni jambo la Aibu kubwa sana ya...
Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani.
Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest...
Waziri wa fedha amezitaka Taasisi na Idara za serikali kuendesha vikao na mikutano yao kwa njia ya Mtandao ili kubana matumizi ya serikali
Rais ni taasisi kadhalika CCM na Chadema ni Taasisi pia...
Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza.
Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge...
Hata kama wachache wataikataa hii ila wengi watakubali kwamba Magufuli alikuwa zawadi maalum kwa taifa la tanzania. Alikuwa ni mtu mnyonge kwa wanyonge na maskini ambao ndio wengi kwenye taifa...
TAFAKARI; NCCR- Mageuzi NI MOJA!
Kumetokea makelele mengi kipindi hiki kwamba NCCR- Mageuzi kuna pande mbili, Hapana! NCCR- Mageuzi ni moja ila kuchagua mtazamo ni uwezo wa Akili yako kifikra...
Kwema Wakuu!
Napenda Siasa Kwa sababu ni mchezo wa wenye wajanja. Napenda Biashara Kwa sababu ni mchezo wa wenye bahati, napenda Fasihi na Falsafa Kwa sababu ni uwanja wa Akili na hekima...
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu...
Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote...
Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa...
Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na...
Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.