IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,832
141,749
IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali

Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa

-----
s1.jpg

PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi la uwekaji alama kwenye Pori Tengefu la Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha linakwenda vizuri na kuwataka wanasiasa kuacha kuwahamasisha wananchi wanaoishi kwenye maeneo hayo kuleta uvunjifu wa amani.

Amesema hayo leo Juni 13 wakati alipofika katika tarafa ya Loliondo kuonana na askari waliopo katika operesheni ya uwekaji mipaka katika pori hilo.

Aidha, amesema kufanyika kwa zoezi hilo ni kwa ajili ya manufaa ya watanzania na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Naye Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amesema ujio wa Mkuu wa Jeshi la Polisi kwenye eneo hilo umesaidia kujenga hamasa na morali kwa askari walioko katika operesheni hiyo.

View attachment 2259730

View attachment 2259732
Kwa hiyo wasimsikilize na waziri mkuu?
 
NI Sawa na kumuamuru mtu ampende au amchukie mtu mwingine Kwa amri tu.Haiwezekani hiyo.Shauri,omba au bembeleza.
 
IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali

Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa

-----
View attachment 2259730
PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo

Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi la uwekaji alama kwenye Pori Tengefu la Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha linakwenda vizuri na kuwataka wanasiasa kuacha kuwahamasisha wananchi wanaoishi kwenye maeneo hayo kuleta uvunjifu wa amani.

Amesema hayo leo Juni 13 wakati alipofika katika tarafa ya Loliondo kuonana na askari waliopo katika operesheni ya uwekaji mipaka katika pori hilo.

Aidha, amesema kufanyika kwa zoezi hilo ni kwa ajili ya manufaa ya watanzania na kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Naye Mkuu wa mkoa wa Arusha, John Mongella amesema ujio wa Mkuu wa Jeshi la Polisi kwenye eneo hilo umesaidia kujenga hamasa na morali kwa askari walioko katika operesheni hiyo.

View attachment 2259732
Eti kujenga morali ya Askari !!
Hii kauli inamaanisha Nini ,,,?!!!
 
Hajawahi kuwa serious kwenye issues
Anapiga per diem za mwisho mwisho maana jua linazama wala hana lolote, sahivi hata ukigombana na mkeo anafunga safari kuja kusululisha mgogoro wa ndoa mradi tu kuwe na sababu ya kujaza kwenye kibali cha safari.
 
Back
Top Bottom