kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,309
- 12,604
Utalii wowote ambao unahusisha kuhamisha wanyama wetu kutokoka Tanzania kwenda nchi nyingine yoyote tuukatae wote bila kujali kabila, dini, jinsia wala elimu ya mtu. hata tukipewa bei gani. Hakuna nchi ambayo haijawahi kuwa na wanyama wake lakini tabia na maendeleo yao ndiyo yaliyosababisha kutoweka kwa wanyama pori wao.
Mtu yeyote awawe yule ambae atabariki kuhamisha wanyama wetu kwa sababu na kisingizio chochote ni Tanzania enemy number one wetu. Haitakii mema nchi yetu kwakuwa kuna siku atapunguza idadi ya watalii watakaotaka kuja kwetu kuona simbahai na twiga hai.
Kama tumewachoka wanyamapori wetu ni bora tuwale sisi wennyewe au tuwabadilishe kwa elimu, yaani ili kupata Simba hai mmoja asomeshe vijana wetu 50 vyuo vikuu vya nje masomo ya maliasili na utalii.
Tuuze zile pembendovu zetu zilizopo kwenye maghala ili ntupate pesa za kufunga mifumo ya kisasa ya ulinzi wa wanyama pori wetu kwenye hifadhi badala ya kuzichoma moto au kupoteza hela nyingine za kuzitunza na kuzilinda zisiibiwe.