Spika Tulia awashukia Mawaziri watoro Bungeni

Bikirajohola

JF-Expert Member
Jun 11, 2022
356
632
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawapo ndani ya ukumbi wa Bunge na kwamba wanatakiwa wawepo wakati wote ambao wabunge wanajadili bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/2023.

Akizungumza leo Alhamisi Juni 20,2022 Spika Dk Tulia amesema katika mjadala huo wa bajeti kuu ya Serikali zinajadiliwa hoja za kila wizara na kila wizara itapewa fursa ya kujibu hoja zake.

“Waheshimiwa mawaziri mliopo, naomba muwaite na mawaziri walioko Dodoma ambao hawana ruhusa ya kutokuwepo bungeni na hawajasafiri na mheshimiwa Rais (Samia Suluhu Hassan) na hawajasafiri kwenda popote waje bungeni,”amesema.

Amesema bajeti kuu ni bajeti ya Serikali yote na kila mmoja anatakiwa kuchukua hoja zake zinazojadiliwa bungeni.
 
Hv inakuwaje hao wabunge mawaziri wanambwela kuingia vikaoni ina maana hawana mpango kabisa na ile laki tatu ya vikao ama mm ndio sijaelewa
 
Dodoma. Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amewataka mawaziri waliopo bungeni kuwaita manaibu na mawaziri ambao hawapo ndani ya ukumbi wa Bunge na kwamba wanatakiwa wawepo wakati wote ambao wabunge wanajadili bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/2023.

Akizungumza leo Alhamisi Juni 20,2022 Spika Dk Tulia amesema katika mjadala huo wa bajeti kuu ya Serikali zinajadiliwa hoja za kila wizara na kila wizara itapewa fursa ya kujibu hoja zake.

“Waheshimiwa mawaziri mliopo, naomba muwaite na mawaziri walioko Dodoma ambao hawana ruhusa ya kutokuwepo bungeni na hawajasafiri na mheshimiwa Rais (Samia Suluhu Hassan) na hawajasafiri kwenda popote waje bungeni,”amesema.

Amesema bajeti kuu ni bajeti ya Serikali yote na kila mmoja anatakiwa kuchukua hoja zake zinazojadiliwa bungeni.
Hata wasipo jibu, ni lini bajeti imegomewa??
 
Ccm mtajuana wenyewe Nchi nzima kijani eti wapinzani wametucherewasha ssana...
 
Kipindi cha jpm hakuna waziri au naibu wake wangethubutu kufanya haya

USSR
Wanasema wanatawala kwa kulegeza sauti, bajeti inasema TRA wamekusanya wastani wa 1.45 kwa mwezi

Wakati wa Jiwe, wakabisha kuwa 1.2 haiwezekani, ikapanda mpaka 1.3...wao wameongeza 150bn tu, si ajabu ndo TOZO ila hawasemi!

Sasa unasema kusanya kwa kubembeleza, ndo umepata ziada ya 150 bn kutoka aliyokusanya mtangulizi, matumizi ya kuzurula yanaweza kuzidi 1 trilioni.
 
Inauma sana
 
Back
Top Bottom