Mkuu wa Majeshi General Mabeyo ambaye anamaribia kustaafu leo amemuaga rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Gabriel jijini Mwanza
Mabeyo amesema japo anastaafu lakini ataendelea kulitumikia...
Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na...
Ukiitazama Marekani ni nchi ya wahamiaji kutoka sehemu zote za duniani. Teknolojia na vumbuzi nyingi sana zimefanywa na jamii tofauti, biashara zimeanzishwa na kufanywa kwa ubunifu na ufanisi...
Rais wetu umejitahidi kufuta maumivu ya watumishi Wa umma wa nchi hii pamoja na makundi mengineyo yaliyokuwa yameathirika na utawala wa JPM.
Hakika katika utawala Wa mwendazake wananchi wameona...
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye makao Makuu ya chama hicho , yaliyo nje ya Jiji la DSM , huko Kinondoni , Mtaa wa Ufipa , Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika , amedai BAJETI HII HAINA...
Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo:
1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia...
Picha> Waziri wa Fedha Mwigullu Nchemba akiwa ameshika kipaza sauti
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kodi haitotazwa kwa kila mtu mwenye umri wa miaka 18, bali atatozwa...
Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi.
Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina...
The Entrepreneurship Index evaluates a total of 100 economies based on a wide range of factors to create an overall “best countries for entrepreneurship” index, including innovation...
Ameandika Padre Titus Amigu
*VIONGOZI WA DINI KUINGIA WOGA HATA KUSEMA UONGO*.
Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao...
Dk Kigwangala akiwa waziri wa utalii aliweza kupandisha idadi ya watalii kutoka laki nane kwa mwaka mpaka millioni 1.5 kwa mwaka, vigogo kadhaa walifika kutalii nchi yetu ,mfano Barack Obama na...
Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza.
1. Habari/Media.
Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata...
Wakuu salaam....
Kawaida mtu anapokopa fedha kwenye taasi rasmi huwa Kuna dhamana inayosimama in case umeshindwa kurudisha mkopo ule dhamana hiyo huwa Mali ya taasisi husika ya fedha,mathalani...
Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la...
Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM?
Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika.
Alafu kundi la...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema Tanzania ina maadui wakuu watatu Ujinga Umaskini na Maradhi
Je, ndani ya miaka 60 ya Uhuru maadui tumewatokomeza kama Taifa?
Wataalam na watafiti wa masuala ya Uhifadhi wamesema hatua zinazofanywa na Serikali kuhifadhi maeneo muhimu Kitaifa na Kimataifa ikiwemo ikolojia ya Serengeti na Ngorongoro ina tija kubwa kwa...
Nimepitia vyanzo mbalimbali ili kupata tafsiri rahisi ya conspirancy; inaelezwa kuwa ni njama au mpango wa siri unaofanywa na kikundi cha watu kufanya jambo lililo kinyume cha sheria au jambo...
Ni katika kutafakari siasa za Tanzania na muelekeo mzima. Nikajikuta nikitafakari muda wote ambao viongozi wa vyama vya siasa wamekuwa wakishikilia hatamu za uongozi pasipo kuonyesha kuchoka, na...
Wapangwa kuzunguka mkoa nzima kutengeneza habari za kumsifu
Salam Wana Jamvi..
Wiki kadhaa toka ripoti kuhusu pembejeo feki zikiwa zinamwagwa Kama njugu huko Mtwara kuzima skendo hiyo na kuzuia...