BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,703
- 6,498
Mataifa mbali mbali hasa ya Kiarabu inasemakana yamenunua sana Aridhi Africa kwa minajiri ya kulima, au hata kuja kuishi. Kuna nchi kama Ethiopia, Kenga, Msumbiji na hata Tanzania.
Swali ni je Kwa Tanzania ni maeneo yapi ambayo yalisha uzwa au kukodishwa kwa wageni?
Swala la Landa Grabbing huwa lina Usili sana, na Raia huwa hawashilikishwi kikamilifu au hudanganywa kwa vitu vidogo vidogo sana.Hekita na hekita zinachukuliwa na kupewa wageni na mbaya sana kwa sasa kuna hadi nchi zinanunua aridhi Africa. Yaani sio wawekezaji bali ni nchi kabisa ina buy land.
Tanzania tusitambe tuna Mapori yamelala hayana wenyewe, kuna Baadhi ya Mapori tunayo yaona yalisha uzwa ila wenye nayo hawajaanza kuyatumia.
Kwa awamu hii tujiandae na Grabbing kubwa sana ya land kwa kisingizoa cha Uwekezaji kwenye Kilimo. Serikali inashindwa kuwawezesha raia wake walime ambao asilimia kubwa ni wakulima in nature wao wanatafuta Wawekezaji kutoka nje na kuwama aridhi.

African Land Grabbing: Whose Interests Are Served? | Brookings
The subject of transnational land acquisitions has increasingly become an important policy concern in Africa as acquisitions have grown in scale and number. Ernest Aryeetey and Zenia Lewis discuss the complexities of land grabbing and how African governments can deal with the associated challenges.
www.brookings.edu