CHADEMA walitamka wazi kuwa hawatambui matokeo ya uchaguzi mkuu 2020. Swali ni je watateua wabunge viti maalumu kushika nafasi za akina Halima Mdee?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Chadema walitamka wazi kuwa hawatambui matokeo ya uchaguzi mkuu 2020.Na wakasusa kuchukua ruzuku

Swali ni je watateua wabunge viti maalumu kushika nafasi za akina Halima Mdee?
 
Wakati ule walinyimwa fursa na maslahi. Safari hii wamepewa fursa ya kula na maslahi. Bila shaka watateua tu. Kama waliweza sema kwa takribani miaka nane lowasa fisadi na walipotaka kumtumia kwa maslahi yao wakasema sio fisadi hawashindwi hilo la kukubali matokeo na kuteua wabunge. Ilimradi wahakikishiwe wanakula na wao asali.
 
Tuwapime kwa kuwakatoa akina halima bungeni.
 
Joyce Mukya ana watoto, na jamaa kaelemewa matunzo ya watoto, hakuna namna
 
Chadema walitamka wazi kuwa hawatambui matokeo ya uchaguzi mkuu 2020.Na wakasusa kuchukua ruzuku

Swali ni je watateua wabunge viti maalumu kushika nafasi za akina Halima Mdee?
Kule Ikulu unafikiri wanaongeaga nini wakikutana? Maridhiano
 
Sidhani angalia ile picha alipiga Mbowe na Raisi alivyokaa kijeuri mkao ule kwa wataalamu wa saikolojia.unaonyesha jeuri

Kuna kitu wanamtegea raisi

Mfano wasipoteua wabunge wao patakuwepo shida wajuzi mnajua
 
Swali ni je watateua wabunge viti maalumu kushika nafasi za akina Halima Mdee?
Mkuu jifunze kuwa na Subira,, mchakato bado unaendelea... kama una jambo la kushauri wewe shauri tu....na sio kuuliza kinafiki kama hivo..?? Unatuuliza unataka tupige ramli au..?

Wewe haraka yako ni nini Mkuu....Ni wapi hasa unawashwa...??.. Subiri mchakato umalizike then utaona kitakachofanyika...
 
Wakati ule walinyimwa fursa na maslahi. Safari hii wamepewa fursa ya kula na maslahi. Bila shaka watateua tu. Kama waliweza sema kwa takribani miaka nane lowasa fisadi na walipotaka kumtumia kwa maslahi yao wakasema sio fisadi hawashindwi hilo la kukubali matokeo na kuteua wabunge. Ilimradi wahakikishiwe wanakula na wao asali.
Wewe kwa ujinga huu unakula nini? Nadhani zile buku7 hupewi tena, pole mkuu
 
Sidhani angalia ile picha alipiga Mbowe na Raisi alivyokaa kijeuri mkao ule kwa wataalamu wa saikolojia.unaonyesha jeuri

Kuna kitu wanamtegea raisi

Mfano wasipoteua wabunge wao patakuwepo shida wajuzi mnajua
Hivi mnafukiri wabunge ni WA chadema tu mbona Kuna wa Act wamo kwanza chadema hata wakijitoa wabunge wa uoinzani wapo waende zao wasisumbue watu
 
Back
Top Bottom