Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi...
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa Huru kutoka kwenye kesi ya uongo ya Ugaidi , aliyobambikiziwa kwa sababu ya harakati zake za kudai KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI , Na sasa tena baada ya...
Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki
Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa...
Baada ya kuhitimu sekondari, Sitta alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kusomea Shahada ya Sheria (LLB) mwaka 1964.
Sitta alisoma shahada hiyo kwa miaka saba kati ya mwaka 1964 na...
Wana njaa sana na wao pesa mbele.
Wapo tayari kuuza watu kisa pesa tu.
Ni mamluki wa CCM ambao hawana uchungu na taifa lao. Wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Bora Mrema anapinga ufisadi kwa dhati
Rais Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi kutokana na tukio la treni ya abiria kuanguka na kusababisha vifo vya watu kadhaa eneo la Malolo Mkoani Tabora, pia ameagiza uchunguzi ufanyike...
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu...
Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo.
1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai
2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai
3...
Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya
Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza...
Ni kitu cha hatari sana kukuta Spika wa Bunge eti anatembelewa na Wawekezaji. Hii inawezekana Tanzania pekee, hakuna nchi chini ya jua hata Somalia ambako spika wa Bunge anaweza kuwa too low...
Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilifanya maamuzi ya kuhamia Dodoma mwaka 1973 na sasa taasisi zote muhimu zinakamilisha ujenzi wa majengo yake Dodoma ikiwemo Ikulu na wizara zote...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA mh Salumu Mwalimu amesema CCM kama chama wamekaa kikao rasmi cha kikatiba na Kutoa tamko kuhusu Katiba mpya
Mwalimu amesema na wao CHADEMA watalazimika kukaa kikao...
Tayari kile kilichokuwa kinahisiwa kuja kutokea kimeanza kusikika maeneo ya Dodoma na Dar ambapo kundi la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa CHADEMA limejipanga kufungua kesi mbili mahakama kuu...
1. Serikali inawasafirisha bure wanaohama kwa hiari, mifugo na mizigo ikiwemo mabaki ya nyumba zao kutoka Ngorongoro hadi msomera
2. Serikali imetoa chakula (milo mitatu) siku ya safari kwa...
Nakataa kabisa
Mwendazake alikuwa anasimgiziwa mambo mengi.
Hata angekuwepo leo mngesema yeye ndio kawalazimisha akina Halima Mdee waende bungeni wakaulize maswali
Bavicha bure kabisa
Mwenyekiti wa kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO), Mhandisi Luhemeja ameeleza kuwa Serikali inakwenda kufumua muundo wa NARCO ili kila mkoa uwe na Ranchi yake pamoja na Meneja wa NARCO wa Mkoa na...
Rashid Shangazi: Katika kipindi cha miezi 9 mamlaka ya kodi imekusanya takribani trilioni 17.2 Ukipiga hesabu ya kila mwezi ni wastani wa trilioni 1.9
Kodi hizi zimekusanywa bila kutumia task...
Urari wa biashara kati ya Tanzania na Kenya umeimarika sana. Leo niliona bungeni Rashid Shangazi akiliongelea hili nikaona nijiridhishe.
Kulingana na data za benki kuu ya Kenya kuishia mwaka jana...
Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao.
Leo nimeona nifafanue hili suala la katiba mpya ili angalau wafuasi wa CHADEMA waelewe kwamba wanachofanya kwa...
Tulipokea taarifa jana kuwa Mahakama Kuu, chini ya Jaji John Mgeta, kuwa ameyatupilia mbali maombi ya wabunge 19, wakiongozwa na Halima Mdee, waliofungua shauri lao Katika Mahakama hiyo kupinga...