CCM na Bunge tumkatae Halima Mdee Mahakamani, Kesi ya Mbowe ya ugaidi ilituacha utupu na ilitufunza

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
 
Ndugu zako walivyo vichwa maji sidhani kama watakuelewa.Kila kitu huwa wanataka mashindano na CHADEMA.Utadhani CHADEMA ni raia wa Yugoslavia na wao ndiyo Tanzania.
 
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi...

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, mtu huyo kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau, sio maridhiano.

Huyu ikibidi apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
 
Yawezekana kuwafukuza Halima Mdee na wenzake ni mpango wa Chadema kutaka kuidhalilisha Serikali, Bunge, Tume ya Taifa ya uchaguzi na baadhi ya mamlaka mahakamani

Lengo la Chadema watatuingiza kichwa kichwa kama kesi ya Mbowe kwenye suala la Halima Mdee na wenzake,

Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni

Mzee Kinana, Pius Msekwa na hata Mzee Warioba wanafahamu kwa mujibu wa katiba na Mzee mmoja kati ya hawa alishasema wakati wa Magufuli kuwa hawa hawatakiwi kuwepo Bungeni kabisa, Ndugai akajitokeza na kusema wazee wakae kimya kwa kiburi cha kumtegemea JPM

Mahakamani kesi ya akina Mdee na wenzake yataibuka tusiyoyajua kama ilivyo tokea kwa Mbowe

Mimi ni mwana ccm, Kuna mambo baadhi ya wana ccm hawataki kujifunza, Wote tunajua mashahidi walivyodharirika na kuabika kwenye kesi ya Mbowe ya ugaidi,

Suala la ubunge la Halima Mdee na wenzake 18, Wazee wa ccm wenye busara wanafahamu na walishasema hawa watu hawatakiwi bungeni kwa mujibu wa katiba yetu, Walikuwa wanalindwa na Ndugai na JPM tu

Halima Mdee na wenzake waliapishwa kwenye mazingira tata na watu waliyaita gereji na Wengine walibebwa mzobe mzobe toka jela usiku wa manane kama Nusrat Hanje na kuapishwa kwa nguvu

Suala la wana ccm kushabikia Halima Mdee na wenzake waende mahakamani kuna maswali hayajibiki na hawa wakibanwa vizuri na akina Kibatala huko mahakamani wataropoko hata yale ya sirini

Mosi, Yataibuka maswali ya kufoji document na hii itahusisha mamlaka za Bunge na Serikali( Tume ya Taifa ya uchaguzi).Eneo hili kwa wale mawakili wa Chadema akina Kibatala hakika tutaumbuka sana, Mambo ya watu kuomba kwenda kukojoa yatajitokeza mahamani kwenye eneo hili kama ile kesi ya Mbowe

Pili, Nani aliandaa jina la mtu aliyefungwa jela Nusrat Hanje awe mbunge wa viti maalum huku akijua yupo jela na hana dalili ya kutoka jela

Tatu, Ni lini kesi ya kuachiliwa Nusrat ilifanyika na akaachiwa huru, Na ni nani aliyemtoa usiku wa manane Nusrat jela kwenda asubuhi kuapishwa ubunge

Nne, Ni nani aliyewapigia hao wanawake simu au kuwaandikia barua ya kuteuliwa na kwa vigezo vipi vilitumika

Tano, Baada ya Chadema kuongea mbele za uma kuwa hao watu hawatambuliki, kwanini Ndugai alisema atawalinda na hawatatoka kamwe bungeni

Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima

CCM ni itikadi, Tusikubali tena makapi na pili uchafu toka Chadema
,
Siasa za kununua na kuuza walizifanya Humprey Polepole na Mwenzake Bashiru bila faida yeyote, Kichekesho Humprey Polepole ametupwa huko ziwa nyasa ambako watu wake wanatoka huko kuja kutafuta uhouseboy na uhouse girl Dar es Salaam, Raia wa huko alikopelekwa mtaalamu wa siasa za vurugu na manunuzi Bwana Polepole wanaiona Dar es Salaam kama ulaya
Tayari tulishajifunza kwenye kesi ya Mbowe palipo na utata yafaa kukaa kimya, Suala la Mdee na wenzake ni tata sana, Spika Tulia ni muda wa kuwakana hawa watu mapema na kuwaondoa Bungeni
 
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi.

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau.

Huyu apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
Mbona Lissu alishaeleza yote hayo,ndiyo maana Mbowe amesema kuna kikao cha CCM na Chadema.
Utata hapo ni wakitimuliwa Halima Chadema itapeleka wabunge viti maalumu?
Wasipopeleka misaada inakoma.
 
Aya ya mwisho umesem ukweli mtupu
 
Natamani kesi hii ianze ili Ndugae aitwe mahakamani kujieleza
 
Nadhani Spika atalishughulikia jambo hili kwa mujibu wa sheria na taratibu. Isitoshe linawahusu CHADEMA, Bunge na kina Mdee. Hapa CCM haina cha kuingilia.

Mkuu vikao vya maridhiano vitaendelea kwakua pande zote wanaona umuhimu wa kuendelea navyo. Lakini sioni kama Ikulu ndio wanafaidika zaidi na hayo maridhiano kiasi cha kuwa kwenye vulnerability kubwa iwapo upande mwingine utaamua kutoendelea na hivyo vikao.
Kama CCM wataendelea kuwalinda hao wanawake 19 kinyume cha Katiba ya Chadema, na kinyume cha Katiba ya nchi.

Namshauri Mbowe atazame upya kama kuna umuhimu wowote kwake na chama chake kuendelea kukutana na Samia ikulu kwa vikao vya "maridhiano"

Kwangu haiwezekani mtu yule anayejinasibu kutaka maridhiano, kuendelea kukuchezea rafu za makusudi mbele ya macho yako, hii ni dharau.

Huyu apewe conditions, kama akitaka maridhiano yaendelee sharti kwanza hao wanawake 19 waondolewe bungeni, kinyume na hapo hayo maridhiano feki bora yafe.
 
Ushauri, Hawa akina Halima Mdee hawana faida kwa Taifa wala kwa ccm kwa sasa hivyo lazima kama wana ccm tusimamie sheria na kuwa kana mazima
Hao shangazi zako Hawajaja kuomba msaada wa kisayansi kwako mtani.
 
Mbona Lissu alishaeleza yote hayo,ndiyo maana Mbowe amesema kuna kikao cha CCM na Chadema.
Utata hapo ni wakitimuliwa Halima Chadema itapeleka wabunge viti maalumu?
Wasipopeleka misaada inakoma.
Kama Chadema inapeleka wabunge bungeni ili serikali ya CCM ipate misaada, wakati CCM waliwanyima Chadema haki yao ya kupeleka wawakilishi wao bungeni kwa ridhaa ya wananchi ambapo pia bado serikali ingepata hiyo misaada, huo kwangu ni ujinga uliopitiliza wa CCM, sio kosa la Chadema.
 
Mkuu vikao vya maridhiano vitaendelea kwakua pande zote wanaona umuhimu wa kuendelea navyo. Lakini sioni kama Ikulu ndio wanafaidika zaidi na hayo maridhiano kiasi cha kuwa kwenye vulnerability kubwa iwapo upande mwingine utaamua kutoendelea na hivyo vikao.
Kuendelea na vikao vya maridhiano huku sheria za nchi zikiendelea kuvunjwa makusudi katikati ya vikao hivyo ni ujinga na kuleteana dharau, mwerevu anatakiwa kuwaacha waigizaji waendelee na maigizo yao.
 
Back
Top Bottom