Ubaya hauna kwao. Ya Loliondo ni zao la watanzania kutokemea ubaya

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake.

Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM.
-Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c
-CUF, NCCR, Chadema,
Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni kinyume na sheria. Wamevunja katiba lkn watanzania hatuandamani, tunadhani ni suala la chadema tu.

Wamasai wa Loliondo wanaporwa ardhi yao, watanzania hatuandamani tumewaachia wamasai.

Wakifanikiwa Loliondo watawaondoa kwenye maeneo yao wakazi wa Kigamboni, Marangu, Kisiwa cha Saanane, Bagamoyo, Mikumi, Kalenga, n.k.

Injustice somewhere is Injustice everywhere.
 
JamiiForums1814262063.jpg
 
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake.

Mifno ya watu waliyoonja ubaya wa CCM.

Mpaka na Bashe ubaya aliupata na Nape🤣🤣
 
Hao wamasai wenyewe huwa wanaguswa na ubaya unaowapata watu wengine?
 
Acheni unafiki. CCM inamwaga damu za Wazanzibari kila uchaguzi mnakaa kimya. Leo ndiyo mnaona ubaya wake?
 
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake.

Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM.
-Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c
-CUF, NCCR, Chadema,
Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni kinyume na sheria. Wamevunja katiba lkn watanzania hatuandamani, tunadhani ni suala la chadema tu.

Wamasai wa Loliondo wanaporwa ardhi yao, watanzania hatuandamani tumewaachia wamasai.

Wakifanikiwa Loliondo watawaondoa kwenye maeneo yao wakazi wa Kigamboni, Marangu, Kisiwa cha Saanane, Bagamoyo, Mikumi, Kalenga, n.k.

Injustice somewhere is Injustice everywhere.
Kuna watu wanasema hata CHADEMA nao wamechoka, na wao wanataka kulamba asali!

Sasa kama kuna "ubaya" wanaofanyiwa waTanzania, kama unavyoeleza hapa, hawa waTanzania ni watu wa aina gani wasiochoshwa na ubaya?

Lakini swali muhimu: wafanye nini ili kuondokana na ubaya?

Lakini pia tusiwe wepesi wa kutoa hukumu. Hivi inawezekana waTanzania hawaoni ubaya wanaotendewa na CCM?
 
Nachoona Mama anarekebisha wajinga na hawana fadhila
EeenHeeee. Anarekebisha Loliondo hivyo, au siyo?
Kawahimize wamasai watoe fadhira basi!

Na usidhani ni hilo tu; ila akili yako chovu haiwezi kukuonyesha "marekebisho" mabaya zaidi anayotenda yeye.
 
Ubaya hauna kwao. Ubaya hauna macho. CCM Ina unasaba na ubaya. Kila mtu/kikundi ama chama wataonja ubaya wa CCM kwa wakati wake.

Mifno ya vyama na watu waliyoonja ubaya wa CCM.
-Ndugai, Membe, Sumaye, Lowasa, Lisu, Mbatia, e.t.c
-CUF, NCCR, Chadema,
Hivi sasa akina Halima Mdee wako bungeni kinyume na sheria. Wamevunja katiba lkn watanzania hatuandamani, tunadhani ni suala la chadema tu.

Wamasai wa Loliondo wanaporwa ardhi yao, watanzania hatuandamani tumewaachia wamasai.

Wakifanikiwa Loliondo watawaondoa kwenye maeneo yao wakazi wa Kigamboni, Marangu, Kisiwa cha Saanane, Bagamoyo, Mikumi, Kalenga, n.k.

Injustice somewhere is Injustice everywhere.
Kituo kinachofuata ni kuwaondoa wamarangu, warombo na wamachame, wanaharibu mazingira ya mlima kilimanjaro kwa kukata miti ovyo na kuzika wafu wao kila mahali.

Eneo la kuwapeleka limeshapatikana kule mlele na kibaoni, Rukwa huko, wakajifunze jinsi ya kutengeneza radi
 
Ni hapa hapa JF unapata kusoma, kujifunza tabia na aina ya watanzania wenzako jinsi walivyo.

Yaani kutokana na yanayotokea nje ya JF na haya tunayoandika mitandaoni especially JF huo ndiyo ukweli wa aina ya Mtanzania wa kweli alivyo, hakuna mwenye uwezo wa kutokomeza au kufanya maamuzi!.

Tuna maneno mazuri na yenye ushawishi kweli kweli but at the end ni sawa na huyu dog hapa 👇🏾...
FB_IMG_1651214644718.jpg
 
Back
Top Bottom