Serikali yapiga marufuku michango shuleni
Serikali imepiga marufu michango kiholela katika shule za umma katika ngazi ya Msingi na Sekondari baada ya kuripotiwa kuwepo kwa michango mingi licha ya...
Zamani kulikuwa na Makamu wa Rais wawili wa Jamhuri ya Muungano wetu.
Sasa hivi yupo mmoja tu
Sasa inakuwaje Rais wetu kumtuma Rais wa Zanzibar kumuwakilisha huko Burundi wakati Makamu wake wa...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni.
Tuko...
UVCCM_ TAIFA
JUNI 30, 2022
LIBSON_ URENO
PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. PHILIP ISDOR MPANGO akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ureno...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemhakikishia General mstaafu Venance Mabeyo kuendelea kumtumia kuanzia Leo jioni atasikia uteuzi wake. Hii imani mama ameionesha wazi kwa Gen Mabeyo...
Je, katika zama hizi za utandawazi kuna haja ya kuwa na wabunge wa viti maalumu?
Kwa mfano kikundi chenye wakinamama 19 kimeingia Bungeni kienyeji kabisa lakini Kanuni za Bunge zimewalinda...
Kwa muda mrefu nimeona Serikali ya awamu ya sita inaonesha kutoridhishwa na Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Mji Mkuu wa Tanzania mkoa wa Dodoma mara nyingi makongamano na semina vyote...
Habari wana JF, Kwa ujumla ukimuajiri mtu mmoja ujue mtu huyo ana mke na watoto, ana ndugu na marafiki wanao mtegemea.
Lakini pia, umlipa mshahara huyo mtu ataenda nunua unga au mchele kwa mtu...
Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa...
Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman
1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu
2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la...
Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na...
Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu...
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwaletea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina...
Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka baadhi ya wanaume ambao bado wana mfumo dume wa kunyanyasa wanawake kuacha tabia hiyo hasa kwenye...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri...
Hali ya upatikanaji na mgawo wa pembejeo za korosho; Uzalishaji wa korosho unawekwa matatani.
Utangulizi
Mwezi Mei mwaka huu, katika kipindi cha uwasilishaji wa bajeti za wizara katika Bunge la...
Baada ya Chadema kuondoa pingamizi lao, kina Mdee nao wameamua kuondoa pingamizi ambalo walikuwa wameliweka dhidi ya kiapo kinzani cha Chadema.
Sasa Mahakama itaanza kusikiliza maombi ya msingi...
Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani.
Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema...
Waziri mkuu mh Majaliwa ameitaka Mamlaka ya bonde la Wami Ruvu kuhakikisha njia zote zinazocheousha maji ya mtio Ruvu zinafungwa ndani ya siku tatu kuanzia leo ili kukabiliana na upungufu wa maji...