Kesi ya Halima Mdee na wenzake inathibitisha jinsi Ubunge wa viti maalumu usivyo na Thamani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,872
141,805
Je, katika zama hizi za utandawazi kuna haja ya kuwa na wabunge wa viti maalumu?

Kwa mfano kikundi chenye wakinamama 19 kimeingia Bungeni kienyeji kabisa lakini Kanuni za Bunge zimewalinda

Kwenye Katiba mpya tuwakatae wabunge wa aina hii. Kwa mfano Halima Mdee Wananchi wamamkataa jimboni Kwake lakini yuko bungeni kwa kupitia njia za Panya, dhambi hii haivumiliki duniani kote
 
Ukitaka kufanikiwa kwenye maisha yako Acha kuwa na wivu na vitu vya watoto wa kike

Wale hata wakitoka ww unapata faida gani? Wale wengine waliokuwepo ww wamekupa faida gani?

Tuache wivu tutafute ela
 
Ni kusanyiko la matapeli tupu
Wanag'ang'ania nini hata siwaelewi!!!

Wanatia aibu Taifa kimataifa, huu ujasiri wanaupata wapi kama hakuna wakubwa nyuma yao wanao wapa jeuri na kuwakingia kifua - kinacho fanyika ni maigizo,kesi itakuwa inapigwa pigwa tarehe mpaka uchanguzi ujao, wakina Halima wataendelea kupeta tu mpaka siku ya uchaguzi wa Kitaifa - sasa sijui Madam President suala hili analichukuliaje?? Repeat, suala hili linatia aibu Taifa, Rais hasilichukulie poa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom