Rais Samia: Jenerali Venance Mabeyo kuendelea kutumika

Rais Samia: Jenerali Venance Mabeyo kuendelea kutumika

nashicha

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
279
Reaction score
524
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemhakikishia General mstaafu Venance Mabeyo kuendelea kumtumia kuanzia Leo jioni atasikia uteuzi wake. Hii imani mama ameionesha wazi kwa Gen Mabeyo inaonesha ni kwa kiasi gani alivyomsaidia kutimiza majukumu yake kwa uaminifu na hasa ulinzi wake wa Katiba wakati mwendazake alipokwendazake.
 
MH Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemhakikishia General mstaafu Venance Mabeyo kuendelea kumtumia kuanzia Leo jioni atasikia iteuzi wake hii Imani mama ameionesha wazi kwa Gen Mabeyo inaonesha ni kwakiasi gani alivyomsaidia kutimiza majukumu yake kwa uaminifu na hasa ulinzi wake wa Katiba wakati mwendazake alipokwendazake
Mpaka Leo Yule Mzee wa jalalani na mwenzake Vangimembe wanasubiri teuzi lakini wapi
 
Gen. Rt. Mabeyo ni mcha Mungu,mwenye hofu ya Mungu, Highly proffessional na zaidi Mjeshi aliyeiva kwa utii wa kulinda katiba na uweledi katika utekelezaji wa majukumu yake na mwenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya jeshi. Mungu aendelee kumtunza kwa afya njema na aendelee kutumikia vyema katika nyanja nyingine atakazoaminiwa na Rais & CIC.
 
MH Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemhakikishia General mstaafu Venance Mabeyo kuendelea kumtumia kuanzia Leo jioni atasikia iteuzi wake hii Imani mama ameionesha wazi kwa Gen Mabeyo inaonesha ni kwakiasi gani alivyomsaidia kutimiza majukumu yake kwa uaminifu na hasa ulinzi wake wa Katiba wakati mwendazake alipokwendazake
Taahir.a wewe mkuu wa nchi anapofariki anaitwa Hayati.
 
MH Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemhakikishia General mstaafu Venance Mabeyo kuendelea kumtumia kuanzia Leo jioni atasikia iteuzi wake hii Imani mama ameionesha wazi kwa Gen Mabeyo inaonesha ni kwakiasi gani alivyomsaidia kutimiza majukumu yake kwa uaminifu na hasa ulinzi wake wa Katiba wakati mwendazake alipokwendazake
Askari wastaafu wote huwa wanatumiwa na jeshi muda wote. Kwa tuliokuwepo wakati wa vita vya Uganda askari wazee wastaafu wote walokuwa na afya nzuri walienda kambini kusimamia mafunzo ya askari wa akiba (mgambo, polisi, magereza, uhamiaji n. k) ili kwenda front.
 
Daaau h aisee ni mwendo wa kupeana tu sasa hapo na salary ya jeshi ana rupu rupu la kutosha bado ukwasi alio kwapua na kazi juu anapewa na anaendelea kulipwa
 
Back
Top Bottom