Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,980
- 4,915
Kwa muda mrefu nimeona Serikali ya awamu ya sita inaonesha kutoridhishwa na Serikali ya awamu ya tano ya kuhamia Mji Mkuu wa Tanzania mkoa wa Dodoma mara nyingi makongamano na semina vyote vinafanyika mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa maoni yangu ni bora wasingetangazia umma kuwa wamehamia Dodoma maana kwa sasa Serikali haijulikani ipo Dodoma au ipo Dar.
Mawaziri na makatibu wakuu wengi utaona wapo njiani kuelekea Dar es Salaam au Dodoma jambo ambalo inaleta matumizi mabaya ya fedha hasa upande wa mafuta na mengineyo.
Serikali ikiri kuwa ipo Dar Es Salaam