Baada ya Chadema kuondoa pingamizi lao, kina Mdee nao wameamua kuondoa pingamizi ambalo walikuwa wameliweka dhidi ya kiapo kinzani cha Chadema.
Sasa Mahakama itaanza kusikiliza maombi ya msingi ya ridhaa ya kufungua rasmi shauri la kupinga kina Mdee kuvuliwa uanachama.
KIBATALA: Maombi ya zuio yameletwa pamoja na maombi ya kuomba kibali cha kufungua kesi
Kwa kuzingatia shauri hili inabdi liishe ndani ya siku14 hivyo tunaomba kuondoa pingamizi la zuio kwakua tayari mahakama imeshatoa kibali
Tunaomba twende kwenye hoja za msingi wa shauri husika
Wakili Panya: Kwa muktadha huo tulikua tumefile P.O dhidi ya mjibu maombi wa kwanza nasi pia tunaomba tuyaondoe ili kwenda kumaliza shauri kwa haraka.
NB: Haya mapingamizi yalikuwa yanachelewesha kesi ya msingi kuanza.