Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,417
- 10,018
Nauli kutoka Mwanza kwenda Bukoba au kutoka bukoba kwenda mwanza imepanda na itaanza kutumika jumatatu ya tarehe 4 July mwaka huu.
Daraja la chini ilikuwa 16000, itakuwa 21000
Daraja la Kati ilikuwa 30000, itakuwa 40000
Daraja la Juu ilikuwa 45000, itakuwa 55000
Naipongeza sana Serikali kupandisha nauli hizi, kwa kuwa gharama za uendeshaji zimepanda sana lakini pia hizi nauli bado ni ndogo sana nashauri Serikali iongeze nauli mara mbili ya hizi zilizopanda 21000 iwe 44000, 40000 iwe 80000, na 55000 iwe 110000.