CHADEMA wanatumika na nani? Tuendelee kuwakataa

CHADEMA wanatumika na nani? Tuendelee kuwakataa

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,142
Reaction score
20,404
Kipindi cha Magufuli sukari tu ilipanda bei kutoka 1400 hadi 2400 chadema walipiga mayowe balaa kupinga hali hiyo.

Lakini sasa hivi wanalamba asali wako kimyaaa, Mbowe yuko bize kuhudhuria Ikulu tu bila kukemea chochote.

Ona vitu vilivyopanda bei sasa hivi

1: Tozo elfu 50 toka elfu 2500 sasa hadi 5,500

2: kuunga umeme toka elfu 27 hadi 320,000

3: IST showroom 12.5 million hadi 18.5 million

4: Petrol 2250 hadi 3900

5: aluminium windows 200,000 hadi 400,000

6: Nondo: 16,000 hadi 26,000

7: cement: 13,500 hadi 19,000

8: chips kavu: 1500 hadi 2000

9: Nauli dalaldala toka 400 hadi 500

10: bajaj nauli 500 hadi 1000
Nyama kutoka 8000 mpaka 13,000
11.Mafuta ya kula kutoka 3000 per lita mpaka 8500

12.Mpira kibanda umiza kutoka 500 mpaka 1000

13. Nondo ya milimita 12 kutoka 12,000 mpaka 28,000

14. Mbolea kutoka 50,000 mpaka 160,000
 
kwani wao ndiyo wamepandisha bei?Wenye mamlaka ya kurekebisha hali ya mfumuko wa bei wanaoongoza serikali.Wengine watakosoa na kushauri tu.
Kwani bei ya sukari alipandisha nani?
Chadema walikemea sana
 
Chadema IPO kwny Serikali kivuli ya Umoja wa Kitaifa

acheni Mbowe nae arudishe minofu ya mwili …kateseka miezi nane gerezani sie tulikuwa tunaishia ku like page na misemo ya kisiasa tu ya kuhamasishana

mwacheni aimarishe shughuli zake za kiuchumi maana kama kujitolea kishajitolea sana hadi pesa zake za Mfukoni lakin vijana hawajielewi jazba nyingi kukurupuka uana harakati uchwara n.k

kama kupigania Taifa ni jukumu la kila Raia na hakuna posho wala mshahara tunaomlipa Ndugu Freeman kwa kazi hiyo
 
Chadema wana mbunge mmoja tu, iweje wawe kwenye umoja wa serikali
 
MKUU

CHADEMA wanapigania katiba Ili kuzuia uhuni kama huo!

Wananchi watakuwa na uwezo wa kuwajibisha mamlaka Moja KWA moja!!!

Upandaji Bei kiholela utakoma kwani wananchi watakuwa na uwezo wa kumuondoa kiongozi madarakani kama akikiuka MISINGI ya uongozi na UHUNI kama Tozo fc!!
 
Katiba inazuia mbolea kupanda?
 
Back
Top Bottom