Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi. Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza...
9 Reactions
123 Replies
9K Views
Huwa nayafuatilia kwa karibu sana mabunge ya Uingereza na Kenya. Nilichogundua ni kwamba yako huru na yanajisimamia yenyewe Sijaelewa bunge la Tanzania kama linafuata mfumo wa kijerumani au...
1 Reactions
8 Replies
756 Views
Mbunge aliyejawa na hoja zenye mashiko kwa taifa letu Mh Shabiby amehoji utaratibu unaotumiwa na serikali ya awamu ya 6 kufungua nchi kwani unaelekea kuigeuza Tanzania kuwa shamba la bibi kwa kila...
35 Reactions
106 Replies
9K Views
Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa? 'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid...
4 Reactions
52 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Mahera amesema baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika Tulia kwamba kuna nafasi moja ya Ubunge iko wazi NEC imefanya Uteuzi kujaza nafasi hiyo. Nafasi hiyo iko wazi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Samia anasema kuna diwani alikuwa anapinga operation ya kuwaondoa wamachinga na leo kwenye mkutano wa Rais kule kigamboni kagoma kuja! Huyu diwani leo tena na wananchi wake wamegomea halfla...
12 Reactions
185 Replies
20K Views
Kwa sasa tunashuhudia kila kukicha Rais aidha yupo ikulu ya Dar au Dodoma. Maana yake kila kilichopo Dodoma kipo Dar (ikulu) pamoja na hayo lakini akiwa Dar anapata per diem. Nadhani ni hivyo pia...
31 Reactions
92 Replies
7K Views
Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ofisi ya msajili wa hazina imefanikiwa kukusanya mapato yasiyo ya kodi ya jumla ya Shilingi bilioni 852.98 ikiwa ni asilimia 109.50 ya lengo katika Mwaka wa Fedha wa 2021/22 ulioishia Juni 30...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao...
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Naona kimya kingi isivyo kawaida. Kulikoni? I miss his busara
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa. RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Senegal kuhudhuria mkutano wa ngazi...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Mnamo tarehe 9/2/2021 kuna baadhi wastaafu walikuja kuwalalamikia yakuwa wamepunjwa mafao yao Nikiwa na maana kuna baadhi katika mkataba wenu walitakiwa kupata m100 wakapata m65 nk Na hao...
1 Reactions
5 Replies
793 Views
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx ========== Mahakama Kuu...
6 Reactions
141 Replies
12K Views
Bila kuchoshana twende kwenye mada.. Haiwezi kupita siku 2 ukaacha kusikia Bashungwa katoa tamko la kuagiza sijui kutoa siku kadhaa na baada ya hapo hakuna utekelezaji.. Mh.Waziri kuna namna...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Sijawahi kumsikia katu. Kama vile hatuna Waziri wa Ardhi. Idara ya Ardhi Sasa Ni ubatili mtupu, maovu ya viwanja nje nje. Wanafanya wanavyofikiria, dhuluma tupu? Ridhwani yupo? Nchi hii imelogwa...
1 Reactions
12 Replies
896 Views
Namsifu mkongwe Jenerali Ulimwengu kwa kusema ukweli wake bila kupepesa macho. Hii inatupa tahadhari kuwa makini sana kama taifa kabla ya kumpa madaraka mtu yeyote ya kuongoza taifa. Je, wewe una...
57 Reactions
248 Replies
15K Views
Habarini wakubwa kwa wadogo,poleni na changamoto za maisha Wapo baadhi ya watanzania wanawaombea usiku na mchana wabunge 19 wanawake, waliojitolea kupigania haki yenu baada ya kuona jasho...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Historia inaonyesha Demokrasia kitovu chake ni Ugiriki ambapo karne ya 5 binadamu wa huko waliibuka taratibu na wazo la maamuzi ya serikali na uongozi unaotokana na ridhaa ya watu wengi badala ya...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…