OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,185
- 103,688
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.
Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.
Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli