Hakuna wa kunishawishi: Hayati Magufuli ni Rais bora wa awamu zote

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati

kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara Meli zakisasa kule Victoria, mara upanuzi wa bandari za Dar, Tanga na Mtwara kwa maramoja, mara upanuzi wa viwanja vya ndege Songwe, Mtwara, Bukoba, JK Nyerere

Mara barabara za lami kila kona, mara serikali kuhamia Dodoma, mara ujenzi wa mji wa serikali Dodoma, mara ujenzi wa mpya ikulu Dodoma, mara nidhamu maofisini, mara kuyavutisha pumzi yamoto mafisadi na vibaraka,
mara ujenzi wa stand zakisasa Dar, Dom nk, mara kawatimua wazungu na korona ya mchongo😂 mara kufumua mikataba ya kipumbàvu ya madini na bandari ya Bagamoyo khaaa, mpaka nimechoka ku type.

Kwakweli acha waendelee kuweweseka ila mzee Mwinyi Alisha maliza kuwa Magufuli kwa muda wa miaka 5 amewafunika wote, halafu mwamba hajawahi kwenda kujipendekeza huko ughaibuni. Viva JPM.
 
Japo Kuna mema alifanya ila kifo cha yule mzee kweli Mungu aliamua kuingilia kati

Daah nikimkumbuka member mwenzetu wa jamii forum Ben saanane

Daaah hii roho inauma sana hasa ile post yake ya mwisho
Post ya mwisho ilisemaje..lakini mnasahau Kubenea alishatamka kuwa bw Mbowe anajua Saanane alipo wakamuulize yeye....nashangaa mnasahau mapema hivi
 
Nashukuru kwa kusema lililo moyoni mwako na katika wengi na wewe humo ila kuna wachache wameanza hapo na huku chini utawaona, now wanaitana kuja kushambulia.

But jipe moyo ukweli huwa haupendi ndiyo maana haudumu!.
 
WATU WASIOJULIKANA
UFISADI WA KIHISTORIA (TRILLION 1.5 ZINAPOTEA GHAFLA NDANI YA MWAKA WA KWANZA WA HAPA KAZI TU)
MIILI KUOKOTWA KWA SANDARUSI.
KUJENGA INTERNATIONAL AIRPORT KIJIJINI KWAKE.
KUBAKA UCHAGUZI 2020
KUNUNUA WAPINZANI.
KUMPIGA RISASI TUNDU LISU.
KUFUNGIWA VYOMBO VYA HABARI.
KIFO CHA BEN SAA NANE NA AZORY.

YES HUYU NDO RAIS BORA ZAIDI KULIKO WOTE.

"HEY WAITER NIongezee konyagi jibapa niende zangu kulala"
 
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati

kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara Meli zakisasa kule Victoria, mara upanuzi wa bandari za Dar, Tanga na Mtwara kwa maramoja, mara upanuzi wa viwanja vya ndege Songwe, Mtwara, Bukoba, JK Nyerere

Mara barabara za lami kila kona, mara serikali kuhamia Dodoma, mara ujenzi wa mji wa serikali Dodoma, mara ujenzi wa mpya ikulu Dodoma, mara nidhamu maofisini, mara kuyavutisha pumzi yamoto mafisadi na vibaraka,
mara ujenzi wa stand zakisasa Dar, Dom nk, mara kawatimua wazungu na korona ya mchongo mara kufumua mikataba ya kipumbàvu ya madini na bandari ya Bagamoyo khaaa, mpaka nimechoka ku type.

Kwakweli acha waendelee kuweweseka ila mzee Mwinyi Alisha maliza kuwa Magufuli kwa muda wa miaka 5 amewafunika wote, halafu mwamba hajawahi kwenda kujipendekeza huko ughaibuni. Viva JPM.
Yote 9, 10 ni kwamba hawa wana ni kiboko
1656925921276.jpg
 
FB_IMG_1657190750436.jpg
 
Back
Top Bottom