NCCR Mageuzi na CCM ndio vyama pekee vyenye Uwezo wa kupewa Nchi, Watanzania msidanganyike

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,099
1,812
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .

Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .

Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .

Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .​
 
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
5,174
9,193
MKUU
Ulikuja na Uzi wa nani anafaa kuwa Raid mzalendo ajaye!!!
Leo umekuja na chama Sio!!?
Kihoro cha katiba mpya kimewapata!!?
Wamekutuma kupima upepo Sio!!?
Hata tumekuelewa!!!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
219,224
508,506
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .

Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .

Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .

Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .​
giphy.gif
 
RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,099
1,812
We CCM iliyoshindwa hata kuondoa mbu nchini, je CCM inayoisemea wewe?
Ni Bora ukaicha CCM hii mbovu kuliko Chama Cha mtu mmoja anaejiita kiongozi mkuu wa Chama yaani haguswi
 
RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,099
1,812
MKUU
Ulikuja na Uzi wa nani anafaa kuwa Raid mzalendo ajaye!!!
Leo umekuja na chama Sio!!?
Kihoro cha katiba mpya kimewapata!!?
Wamekutuma kupima upepo Sio!!?
Hata tumekuelewa!!!
Mkuu relax
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
51,189
88,658
Habari wana JF ,Najua vijana wa CHADEMA hawatafurahishwa sana ila ukweli ni kuna vya viwili vyenye uwezo na vigezo vya kuongoza Nchi ambavyo ni CCM na NCCR Mageuzi .

Hivi vyama vina sifa kuu Moja na Vyama vya wananchi tofauti vyama vingine ni vya mtu au kikundi Cha watu hivyo ni Hatari kumkabidhi mtu au kikundi Cha watu Nchi .

Hivyo Mbali na Mapungufu na Umaskini Mkubwa tulio upata Chini ya CCM ,bado ni Chama chenye uafadhali kuliko vingine .

Kama itatokea NCCR Mageuzi watajipanga vizuri ni Bora wakapewa Nchi tukaondokana na huu Utawala Mbovu wa CCM na sio vyama vingine vilivyopo kwa sasa .​

Hakuna chama au mtu atashindwa kuongoza nchi hii. Nchi ambayo imeweza kuongozwa na CCM, huku watu kama JK na Magufuli kuweza kuwa maraisi, basi hakuna atakayeshindwa. Labda uzungumzie kuongoza kwa ubora, lakini sio kuongoza kama kuongoza.
 
RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,099
1,812
Hakuna chama au mtu atashindwa kuongoza nchi hii. Nchi ambayo imeweza kuongozwa na CCM, huku watu kama JK na Magufuli kuweza kuwa maraisi, basi hakuna atakayeshindwa. Labda uzungumzie kuongoza kwa ubora, lakini sio kuongoza kama kuongoza.
Kijana Uongozi si sawa na kwenda chooni kujisaidia kwamba kila mtu anaenda ni mgumu sana .
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
5,121
11,830
Kwa upumbavu wa mtoa hoja hii, nimemweka kundi moja na DC wa kigoma na mganga wake mkuu walioamua mtoto ambaye alikua mahututi asafirishwe kwa gari kutoka Kigoma hadi Dar,ni majitu makatili mno, je angekua ni mtoto wao wangeamua hivyo?,huyu mtoa hoja hii naye angefanya kama DC alivyofanya,cancer ya upumbavu
 
Uko sahihi mkuu
 
RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,099
1,812
Mtu hataki kutoka kwenye chama chake as if yeye pekee ndio ana uwezo wa kuongoza Nchi . 20220707_142631-1.jpg
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
51,189
88,658
Kijana Uongozi si sawa na kwenda chooni kujisaidia kwamba kila mtu anaenda ni mgumu sana .

Uongozi wa kuongoza makondoo una shida gani boss? Unataka kufanya kuongoza ni jambo gumu sana. Ukiona mtu anasema kuongoza ni kugumu ujue kaingia kwenye madaraka kwa kushurutisha ili kusaka ulaji, lakini hana Karama ya uongozi.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom