Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwa miaka yote tangu ateuliwe kuwa IGP, Mtukufu Sirro amejipambanua kuwa upande wa CCM, huyu ndio chanzo cha vurugu kwenye harakati zote za kisiasa za vyama vya upinzani, ameshiriki kuvuruga...
34 Reactions
90 Replies
7K Views
Hili ndio swali alilotandikwa na Farhia Middle wa ITV, Natoa wito kwa wananchi kuhakikisha Farhia analindwa kwa udi na uvumba
26 Reactions
108 Replies
9K Views
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu. Kuongeza imani kwa Watanzania ni...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Mbunge wa Mbogwe Mh Nicodemas Maganga wakati akichangia bajeti kuu ya serikali ametoa tahadhari kuwa taifa letu limeanza kurudi nyuma baada ya viongozi wengi hasa mawaziri kwenye hii awamu ya sita...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa rekodi za kipolisi IGP wa kwanza kurekodiwa ni Harun Mahundi ambayo alishika wadhifa huo miaka ya 1990s. Mwaka 1996 hadi mwaka 2006 wadhifa huo ulishikiriwa na Omary Mahita. Kuanzia 2006 hadi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
ACP Ramadhani Kingai wasalimie Kigoma, uliipenda Kinondoni ila Kinondoni haijakupenda
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Jana niliiangalia mdaharo wa wagombea wenza kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya, kati ya Martha Karua wa vyama vya muungano wa Azimio unaoongozwa Raila Odinga na Gachagua wa muungano wa vyama vya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili...
1 Reactions
4 Replies
930 Views
Wale msiopenda muungano wa nchi tatu. Tunaweza kuwa na majimbo mawili yanayotengeza serikali moja. Jimbo moja la Tanganyika na lingine la Zanzibar. Kila jimbo linakusanya kodi zake na linakuwa na...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Katika gazeti la Raia Mwema la leo tarehe 18 Julai 2022, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema yeye anampa asilimia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake Kama...
12 Reactions
64 Replies
4K Views
Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena? CCM inajua sana kufuja fedha za Watanzania.
2 Reactions
2 Replies
709 Views
Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Naona Mh. Rais SSH kamaliza kupanga safi ya viongozi wa vyombo vya dola. Macho yetu yote ni kwa Mahakama. Je, nani atakalia kiti Cha Jaji Mkuu?
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Baada ya Serikali ya Kuongeza bajeti ya Kilimo kutoka Bil.294 hadi Bil.964 kuanzia mwaka 2022/2023.. Kwa hili naona Mama kaupiga mwingi. Naona kutatokea mapinduzi makubwa ya Kilimo hasa Kwa...
2 Reactions
2 Replies
724 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT..Kasi iendelee.. Ukweli usemwe tuu,kiufupi ni kwamba hadi sasa Rais Samia amefanikiwa kukata ngebe,Vilimi na wasiwasi wa wapinzani wake hasa Sukuma gang na Chadomo...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakati Magufuli "anaboronga" CCM ilifanya nini kumfanya asiboronge? CCM ndiyo iliyofaidika kwa Matendo ya Magufuli, yawe mema au mabaya. Walaumiwe wao
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais hufanya teuzi kwa kuangalia vigezo mbalimbali na kuhusisha taasisi muhimu za kitaarifa Itoshe tu kusema Rais huteua mtu sahihi kwa wakati husika Siyo kila jambo ni siasa!
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hili jambo CCM wanapaswa wasilisahau wala kujisahaulisha Tulipowachagua hayati Magufuli na mama Samia tulichagua Maendeleo Hivyo jitihada zozote za mafisadi kulihujumu Taifa letu tusizikubali na...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…