"JAMBO LA MAMA LIMETIMIA-NDEJEMBI"
Anaandika Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Deo Ndejembi
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia mapendekezo ya nyongeza ya mshahara ikiwemo...
Wana JF, Hakuna kitu kikubwa kama kuelewa kwanini unalipwa mshahara na ni nani anakulipa mshahara? Ukipata jibu ya swali hili hutalalamika kwnini huongezewi mshahara au hupandishwi daraja na hata...
Imenikera! Tena imenikera kweli kweli! (In dikteta's voice). Wakulima tunaishi nchi hii kana kwamba hatuna serikali. Hakuna anayetujali kwa chochote Wala kwa lolote.
Hatukopesheki, hatuna bima ya...
Wakuu heshima kwenu aisee nimemkumbuka baba japo alikuwa mkali ila umuhimu wake ulikua mkubwa sana malezi ya mama sasa eeeh atuna budi kufuatisha yale anayo tuambia mama.
- Nyongeza ya mishahara...
Nachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (RC), Anthony Mtaka ametoa siku saba kwa wakazi wa Msalato waliojiorodhesha kudai fidia ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato kwa njia ya udanganyifu kufika ofisi za...
Nakumbuka Dr Salim Ahmed Salim aliteuliwa kuwa Balozi akiwa na umri wa Miaka 20, pia kuna vijana wengi nyakati hizo wakiteuliwa
Wazee walipata teuzi za Ukuu wa wilaya tu
Siku hizi Wazee...
Ukiona Rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara.
Hivi katika nchi kama Tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi?
Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania...
Baada ya sintofahamu ya kutimua makandarasi Zanzibar, leo Rais Mwinyi katoa tamko la kuwapoza makandarasi.
Akiweka jiwe la msingi hospitali iliyojengwa na mkandarasi mzawa, amesema ataendelea...
Kauli za Wakili Fatma Karume kuhusu hatua ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka yake katika Mahakama Kuu, Machi 4, 2022 ambapo alikuwa yeye pamoja na wenzake watatu ambao wote...
Sasa hivi kuna kipindi kinaendelea ITV kuna bibi mmoja anaitwa Kija yupo na maofisa elimu kadhaa WANASEMA ELIMU BURE NA ELIMU BILA MALIPO NI VITU VIWILI TOFAUTI, eti wazazi hawakuuelewa waraka
Waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, tayari wamefungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wa chama hicho.
Mdee na wenzake...
Nikiuangalia utatu wa DCI, DPP na Jaji Kiongozi ni dhahiri nyakati za kutenda uhalifu wa namna yoyote kwa sababu zozote zimefika ukomo.
Natoa tu tahadhari kwa BAVICHA waache mihemko na Lugha za...
Arusha. Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye leo Ijumaa Julai 22, 2022 amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Rais Ndayishimiye amechukua nafasi ya Rais wa...
Baada ya kusikia uteuzi wa Ramadhan Kingai kuwa DCI, Akichukua nafasi ya Wambura , ambaye amepandishwa na kuwa IGP, watu wengi wamehoji UADILIFU wa Mamlaka ya uteuzi.
Wananchi kuhoji uteuzi huu...
Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa...
Naibu Waziri wa Kazi mh Katambi amesema kwa mujibu wa sheria Madereva wote wa sekta binafsi wanapaswa kuwa na mikataba ya ajira na mishahara yao ikatwe Nssf na WCF
Katambi amemtaka waajiri wote...
21 July 2022
Arusha, Tanzania
Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki July 22, 2022 Arusha Tanzania
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakaokutana ktk kikao cha...